Ngoja mwamba mmoja akajitoe muhanga ili kusudi huyu mwehu atimize ahadi akachukue notice kwa Nikki wa Pili kwanza alafu akishamaliza aje atuambie tena alimaanisha au alikua anatuletea maigizo Ila kwa huyu mwehu najua hamaanishi kitu hicho anacheza na akili za mazombi ili apate kuongelewa apige Pesa, hivi hamjui hilo? Algorithm za google zinaongea kwa kasi ya ajabuMsanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.
Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,
"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku mkiona nimeachwa nitajitupa kama yule mwana baharini na mazishi mje Moshi”.
“Nipo radhi kupigana na mtu yeyote kwa ajili ya mwanamke wangu kwa sababu nampenda”. - Whozu
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Kumbe wajinga bado wapo? Wema huyu huyu ameokota akiwa ametumika kwa asilimia 90?Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.
Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,
"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku mkiona nimeachwa nitajitupa kama yule mwana baharini na mazishi mje Moshi”.
“Nipo radhi kupigana na mtu yeyote kwa ajili ya mwanamke wangu kwa sababu nampenda”. - Whozu
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Kumbe mpaka achwe?Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.
Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,
"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku mkiona nimeachwa nitajitupa kama yule mwana baharini na mazishi mje Moshi”.
“Nipo radhi kupigana na mtu yeyote kwa ajili ya mwanamke wangu kwa sababu nampenda”. - Whozu
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Mwakinyo si yupo anatafuta pambanoNipo radhi kupigana na mtu yeyote