Why a woman lose interest in a man

Pesa Wala sio kitu sasa 😅
You know what money is everything, mfuate mtu ambae amekwama kwenda kufanyiwa upasuaji wa kibofu nje ya Nchi na hana hata senti 50 muulize atakupa jibu hilo money is everything mpaka Mungu anataka money siku hizi
 
Yaani hata mimi nimemshangaa... Ilibidi aandika tu PESA PESA PESA sio mara when you wiiiiiiizi mtupu😁
Nimesoma notice km anaandikiwa mpangaji vingereza kibao ye baada asema tu Pesa Mwanamke mpe Pesa akicheka mpe Pesa akinuna mpe Pesa akikenua mpe Pesa akitubasamu mpe Pesa wewe mpe peeeeesa
 
Kwa uandishi huu seems umeachwa au umepigwa tukio ambalo hutosahau
 
Kiswahili hujui? Au dharau!!
 
Do you realize kwamba katika haya, mengi tu yana-apply kwa wanawake pia? Nyie mnafanya mangapi?

1) when you refuse to change your character
2) when you don’t have time for her
3) when you make urself so difficult for her to understand you
4) when you don’t communicate with her(you can’t call her or text her in a day. Both of you can’t seat talk and play)
5) when you don’t trust her
6) When you don’t care about how she feels
7) when you still hold on her past
8) when you suspects her
9) When you confide in other people more than her
10) when you’re not proud of her 👌.
11) Bad attitude = bad prospect
12) You've got the wrong intentions
13) You're not looking afteryourself
14) Your confidence levels are off.
15) When you make yourself an island that no one advices you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…