Why a woman lose interest in a man

Not sure, maybe Gene-Z
 
Hii thread inaonekana kuna mwamba kajisimamia Kala mzigo na kukuacha kwenye mataa , inaonekana mwamba hakua fala
 
Tyrese aliachwa na mke wake na mke kumfilisi jamaa na kurudi kwa x wake, sababu ilikuwa ni nini hivi?
 
Tyrese aliachwa na mke wake na mke kumfilisi jamaa na kurudi kwa x wake, sababu ilikuwa ni nini hivi?
Tyrese hakusikia mchezo huyu mtoa maada kachapwa tukio kaja kujiliza huku , inaonekana mwamba aliekua nae mjanja na mwenye akili Sana
 
when you're not looking after yourself??? like really???
Ameandika ujumbe mujarabu sana, ila sasa kwa vile watu wanasoma huku wakijipima jinsi walivyopwaya, basi hawataki kabisa kuulewa wala kuuzingatia. But it's 100% correct!

Taking care of oneself ni nukta muhimu sana. Haiwezekani kuisisitiza kupitiliza, na imejaa mambo mengi mno.

Chukulia mfano kujijali kiafya (akili, mwili na roho). Hilo tu linatosha kuokoa mahusiano yako. Unategemea nini kwa jamaa ambaye 24/7 anatumia kwenye kundi la marafiki ambao fikra zao daima ni hasi? Huko si kujijali kijamii.
 
Usimjali mwanamke na asikupangie masharti , simple way huyu sio ujumbe keshachapwa tukio huko kaja kulia hapa
 
Let say a man cope with all those you mentioned, tell me what output you will bring in his life? nothing, justa suffering and regrets.

Most of you women you love to teach moral but have non, you teach men to respect women but when we teach ypu to respect man you say that's slavery.

You want a man to take care of you, to solve your problem, to work hard so you can have soft life but you doesn't have any output in return.

Before you blame men, look at yourselves to know where all thinks fell apart.
 
Nothing she can bring , she thought may be her pussy needs special care while note,
 
Huyu kaachwa yeye , na wa hivi hua ni single mother anajifariji , kakutana na mwenye akili asie bwege
Unapata Faida gani kuandika uongo, umenizalisha wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…