Why African countries are poor and what can be done

Utajiri ni kuhifadhi zaidi ulichonacho na kukusanya zaidi kutoka nje.
Kuwafanya wengine wakuhitaji zaidi na kukulipa zaidi kuliko unavyowalipa.
 
POOR INVESTMENT,nd technology,mitaji yetu ya fedha,uvumbuzi,akili bdo ni haba na bdo tunayo maono ya miaka 60 tunaish katk hali ya hofu kupta kiasi.
Time for change is now, let us come up with solutions instead of worries and blames
 
Acha kutumia mihemko na emotions.

Tumia akili na logic kutafakari maisha ya waafrika kwa ujumla.

Kisha linganisha na maisha ya wazungu.

Utaona kwamba kwa hakika, waafrika wana upumbavu na laana ya milele.
Hakuna laana yoyote ni muda tu.
 
Hakuna laana yoyote ni muda tu.
Muda gani?

Miaka 62 ya kujitawala wenyewe tuna agiza hadi Toothpicks nje ya nchi?

Nchi inakopa na kutembeza bakuli la misaada kama maskini!!!

Kuna nchi tulikuwa nao sawa kiuchumi, lakini leo hii wametuacha mbali sana kiuchumi.

Nakwambia hivi 👇

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Inabidi wananchi kuamka au kuamshwa ilikuanzisha makampuni yakuzalisha vitu vyetu wenyewe uwezo tunao sasa
 
It has been a long time complaining about exploitation by whites, let us wake and overcome them!
 
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa watu weusi katika mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri, endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii".
Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za utawala wa Ubaguzi wa rangi.
 
This is one of the good articles I ever read at JF.. in short, it seems that citizens are lazy for they can't produce enough for their consumption and surplus to earn income for development projects. This can be equally applied to a personal/household level. Normally lazy families fail to meet household demand for food, clothing, etc. and finally end up in toxic loans.. that is really sad.

Thank you.. there is a great lesson to learn.. even at individual level. I believe, this knowledge should be taken to the grassroots for people to understand. That is wealth is proportional to surplus..
Please put this article in swahili for majority to benefit, I believe lots of people do not have this kind of knowledge in international economics
Capital
 
Thank you Capital for your appreciation,
When I explained the concept of Labour of citizen (Lc), here I mean that prosperity of the nation comes from hard working citizens not grants or loans. My advise to the governments of poor countries is to focus on their citizens rather donors and creditors.
Still they have chance to reverse the prevailing situation of depending on other countries because the capital (population) of most of the poor countries is growing too fast. Citizens must be utilized fully for national prosperity, that's what developed nations did and still they are fully utilizing their people and some using people from other nations (those searching for green pasture)
 
Kwa kweli inatia hamasa Sana Kuna umaskini mkubwa wa Nchi za Afrika pamoja na raslimali nyingi Sana ila bado umaskini upon.
Kweli kabisa mafanikio yataanza na individual level to family levels na national level . Watu Bora watazalisha ubora na Nchi itasonga mbele .. raslimali watu ni changamoto kubwa kwa Nchi za kiafrica..

kupata viongozi Bora ni matokeo ya kuwa na raslimali watu Bora..the rest is history.

Umaskini uko vichwani mwetu ..tunatembea nao na kuukumbatia .. kila mtu afanye bidii kuwa mtu Bora tutaweza kubadilisha mazingira yetu yote yanayotuzunguka na kupata hata viongozi Bora.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…