Why always "Kamix Laizer"?

Why always "Kamix Laizer"?

TESRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
337
Reaction score
336
-Habari za kazi viongozi, nisiwachoshe niende moja kwa moja katika swali langu.
-Nimekuwa msikilizaji wa nyimbo za kibongo hasa kizazi kipya. nilijipa mda kusikiliza nyimbo zilizotengenezwa na producer Zombie (Stykz). nilichogundua nyimbo nyingi alizotengeneza ni za wasanii kutoka wasafi (Diamond, Zuchu, Mbosso, Lava lava), japo ketengeneza hit kibao na wasanii wengine mbali na wasafi kama Jux, Marioo etc

- Lakini kilicho nisukuma kuandika uzi huu. Nyimbo nyingi alizo tengeneza huyu zombie kalibia asilimia 80 hadi 90, japo si zote. Mwishoni mwa nyimbo hizo huwa inasika sauti "Kamix laizer".

  • Nilipenda kujua huko kwenye mixing vitu gani vinaongezwa na laizer kwenye hizo nyimbo ambapo Stykz hawezi fanya. lakin kwa upande huo huo huwezi sikia nyimbo zilizo tengenezwa na laizer zimefanyiwa mixing na Stykz. Je zombie hawezi fanya mixing?
  • Najua kuna wataalamu humu wanao jua machache kuhusiana music industry.
---ahsante-------
 
Mixing ni utaalamu mwengine tafauti na beat making

Mixing inahitaji uwe na sikio zuri mziki utoke unaskika vizuri
 
Wanakuja mkuu watalaam wa kamix laizer
 
Napenda muziki/wimbo ukiwa mzuri halafu ianze sign ya AYOLAIZER.

Mfn ; Eneka, Show me, halellujah n.k
 
Back
Top Bottom