Acha uongo mkuuTutake radhi. Mgabe kafariki
Anatuathiri sana hasa zile biashara na starehe zetu.Hatumpendi yule!!Hii nayo thread ya msomi?! Hao uliowataja hawaathiri maisha yetu kwa chochote lakini Makonda anaathiri maisha yetu, ikizingatiwa ni hivi karibuni wafanyakazi hewa wametumbuliwa na kigezo ki kubwa ni kughushi cheti kitu ambacho Makonda pia amekifanya.
Kwa nini yeye na si wale 17,000 ?!.