Why Are Countries which were colonised by British developed

Nafikiria kwa juu juu tu, hivi rasilimali zilizo Tanzania zengekuwa Kenya, leo hii kungekuwa kuna kitu kimebaki cha kuuza au cha kusema hiki ni chetu?
 
But you haven't look on French speaking countries like Ivory Coast, Mali, Cameroon, Senegal they're doing well too.
 
Your very wrong, Ujamaa didn't bring us down, in fact is capitalism brought us way down. IMF, World bank forced us to sale all our factories and open up our markets in return they will lend us money. Matokeo yake the very little we had, capitalist waka viharibu ili walete vya kwao kutoka nje. Others wakachukuwa assets zetu as collateral na kuchukuwa mikopo. But the tables have turned, tunachukuwa mali zetu on win win bases.

But if we look at ujamaa as a system, it hasn't fail any country. Kwanza imesaidia kuweka akiba ya rasilimali za nchi. India as democratic as it could be lakini ni nchi ya kijamaa kwa level zote toka chini hadi juu, Ethiopia is the most Ujamaa country in whole of Africa tena hata hawajafungua market zao to the world, China is still holding grip on her local market, Tanzania is growing 1.5 times faster than Kenya.

Nchi nyingi zina embrace both systems, European countries, Britain, France Germany Denmark etc wana ujamaa ndani ya system yao ya ubepari (capitalism). Free health care, free basic education, people living in small community, the less fortune receives social security, what else do you want from ujamaa.
 
Hawajasoma kitabu cha De Soto, Fernando. Mystery of Capital. Why capitalism triumphs in West but failed everywhere. Kuna mambo mengi sana humo.
 
But the best east is Kenya,west Nigeria,south SA,North Egypt
It depend what your looking for, if it was me, I would choose Senegal and Ivory Coast over Nigeria in terms of institutions and economic stability.

Ivory coast is French back yard. Just as it was south Africa being western Europe back yard.
 
It depend what your look for, if it was me, I would choose Senegal and Ivory Coast over Nigeria in terms of institutions and economic stability.

Ivory coast is French back yard. Just as it was south Africa being western Europe back yard.
Good according to you...but facts on the table prove otherwise
 
South Korea and China were colonized by Japan. Soon China will overtake US economically. Your argument is invalid.
 
waswahili katika ubora wao..mfuuuu[emoji2] [emoji90]
 


Very true ila Kenya ilibidi iwe mbali sana kwa Tanzania in terms of developments. Imagine for 22 years we were in transition ila sasa the gap is very narrow na Kenya isipoangalia watabaki kushangaa train ya Mombassa kwenda Nairobi, watch out.
 
Very true ila Kenya ilibidi iwe mbali sana kwa Tanzania in terms of developments. Imagine for 22 years we were in transition ila sasa the gap is very narrow na Kenya isipoangalia watabaki kushangaa train ya Mombassa kwenda Nairobi, watch out.
Halafu hivi sasa ndio wamekuwa sandwich kati ya Ethiopia on north, Tanzania on the south. North walishapitwa, south uchumi unakuwa kwa speed kuliko wao.
 
Halafu hivi sasa ndio wamekuwa sandwich kati ya Ethiopia on north, Tanzania on the south. North walishapitwa, south uchumi unakuwa kwa speed kuliko wao.


Ukabila ndiyo unaowafanya kubaki kushangaa vitu na cha kushangaza wakenya wengi hawajuwi kuhusu Tanzania. Wengi wanafikiri Tanzania ya post war ya Uganda (1978 - 1985) na ya sasa ni ile ile. They have no fucking idea. Anyways, aliyelala...usimwamshe....mwache asinzie tu.
 
Unaongea vitu ambavyo hata huvijui, ni mtu ambaye hata hujavishughulisha navyo, na huo ndio "upumbavu" hujui na huhitaji kujua.

Kichwani mwako, kanuni za ujamaa hata huzijui, laiti ungezijua, ungejua jamii zote za kiafrika zinauishi huo uiitao upuuzi. Na huu upuuzi ndio misingi ya ustaarabu wa kila mfumo bora wa maisha wa wanadamu hapa duniani.

Uislaamu, kwa mbali una asili ya ujamaa, Ubudha ni ujamaa, uafrika haswa ubuntu ni ujamaa, urastafarian ni ujamaa, ila lililo kubwa zaidi ambalo nadhani uanze leo kulifanyia utafiti, ni kwamba, UKRISTU haswa, kwa 100% ni ujamaa pure, tena ni ule wa Nyerere. Kisiasa, kiuchumi, kiutaratibu, lakini lililo kuu, hata kiuchumi, Ukristu wa asili ni ujamaa, soma matendo ya mitume, nenda kaushuhudie ujamaa. Soma kanuni za kimaisha alizokuachia Yesu, zote ni za kijamaa.

Mtumie vichwa kufikiri sio organ zingine ktk miili yenu, hiyo mifumo niliyoitaja ni mikubwa na yenye kuheshimika ulimwenguni, na mingine hadi mbinguni (kama kupo). We, Jay456watt ambaye hata mwenyewe umeshindwa kuweka misingi bora ya kuiendesha familia yako tu nyumbani kwako na jamii yako, achilia mbali viongozi wako na nchi (si taifa) lenu kwa miaka dahari..... Unawezaje kuwa na uwezo wa kumuita Nyerere "idiot" na ujamaa ni upuuzi? Jipime.

Ucapitalist, "ubinafsi", shetani ni mtaalamu sana, uhuru, kujitambua, haki ya kujitawala, kuchagua, kusikilizwa, vyama vingi, usawa wa kila namna kuanzia kijinsia, jumla yake ni demokrasia, soko huria nk lakini chanzo chake ni swali, nami nitafikaje juu ya kilele kile? Na yote yaliasisiwa na baba wa demokrasia na haki za binadamu na viumbe vyote, Lucifer.

Jay456watt, dunia ni kubwa na ulimwengu ni mpana sana, hivyo vijicho vyako viwili vidogo ulivyovibinya kwa ulaji wa nyama na damu tena mbichi, haviwezi kuyaona yaliyo makuu. Pole.

Natamani niwe na private mjadala nawe, we uutetee ubepari nami niutetee ujamaa, kitaalamu ktk nyanja zote kuanzia kiuchumi, kijamii, kisiasa, kidini, haswa kwa kuzingatia mila, utamaduni, asili na jiografia ya jamii zetu za kiafrika. Nyerere was a hero not only in Africa, but globally, then watch out for what you say upon him.
 
kuna nchi nyingi za ujamaa zilizoendelea kiuchumi ila usijaribu kuweka tanzania kwa hio listi...bila shaka Nyerere aliwaambukiza ujinga inayodhihirika kwa povu uliomwaga hapa...kwani unafua bro? 😀😀
Kwani Kenya ni nchi ya kijamaa? Vipi nayo ni miongoni mwa nchi zilizoendelea? Hata sihitaji kuifananisha na China, vipi imeipiku Venezuela na Cuba? Tangu kupata kwake uhuru, Kenya ni capitalist state, kipi walichokivuna cha kujivunia haswa, ukilinganisha na taifa la kijamaa la Tanzania, ambalo resources zake zilitumika kuokoa wengine, lakini pia kwa miaka zaidi ya 40 lilikuwa limelazwa bila kuendelezwa ktk nyanja yoyote ile kuanzia elimu, miundombinu, viwanda nk huku kwa kipindi chote hiko Kenya ikinufaishwa na huyo mtawala, unadhani mlipo sasa mlistahili kuwepo hapo? Tunaongelea miaka zaidi ya 40 hapa.

Baada ya uhuru na ndani ya sera za kijamaa, Kenya ilishasogelewa na kuwa tishio na hili taifa la kijamaa ktk nyanja zote, kiuchumi, kielimu, kiviwanda, kijamii, kidiplomasia na kila kitu, mna hata hari na moyo wa kuudhihaki ujamaa na kumdhihaki aliyeusimamia kweli?

Takwimu zinaonesha, Tanzania ilianza kuufuta ujinga kabla ya Kenya. Wajinga wana mamlaka ya kukosoa njia za werevu, hii ni ajabu sana. Nilichokigundua, wakenya wengi hawaijui Tz kama watz wavijuavyo Kenya. Pili, elimu ya kenya iko ktk field husika tu, wakati ya Tz iko ktk field zote kwa pamoja.
 
But you're considered a German colony.
Ipi iliyotutawala kwa kipindi kirefu Kati ya Ujerumani na Uingereza? Kumbuka, Ujerumani hadi kufikia mwaka 1907 hakuwa ameseto Tanganyika, hapo ndiko alikofanikiwa kuitawala Tanganyika yote kuanzia alipoanza harakati zake 1885 huko. Kuanzia 1919 peacefully Tanganyika ikaanza kutawaliwa (under trusteeship) ya Mwingereza.
 
Mkuu, kwa haya nadhani atautambua ujamaa kwa sasa. Hawa watu wana akili za kushikiwa. Wamelishwa sumu ya kuwa tegemezi kwa wazungu hata kimawazo. Shida tupu.
 
Hawajasoma kitabu cha De Soto, Fernando. Mystery of Capital. Why capitalism triumphs in West but failed everywhere. Kuna mambo mengi sana humo.
Halafu nadhani hawa jamaa, hata hawajishughulishi na kuongeza maarifa kichwani, walichomezeshwa ndicho wanachokiishi. Lumumba wao anajitahidi lakini hata hawamuelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…