NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Nyakundi has been a favorite on your quotes due to his tendency of always criticizing the Kenyan government. Why are you quiet now? 😂 😂 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, yani jamaa zimeletewa treni inakaa basi tulizotumia 1980s.Hiyo bus ya kwenda Riakanau imenikumbusha mbali, hehehe halafu limeendana vizuri sana na bureti train ya Bongo.
Ni vitu vya kawaida Tangagiza. 😂 😂Vitu vya kawaida mistakes while unloading test engine happen!
Bro hakiki taarifa zako sawa sawa hatuwacheki bahati mbaya.Ila usitukane Mamba kabla hujavuka MTO. Tuliwasimanga sana Majirani na SGR yao leo sisi tunajaribu na Basi la kwenda Ushagoo
Hizo sio punje za mahindi. Ni kichwa cha treni. Kama kweli kimenguka aliyehusika anatakiwa kuwekwa kando kabisa.Vitu vya kawaida mistakes while unloading test engine happen!
Chunga usipotezwe,.Ila usitukane Mamba kabla hujavuka MTO. Tuliwasimanga sana Majirani na SGR yao leo sisi tunajaribu na Basi la kwenda Ushagoo