Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Title inajieleza, wajuzi mtujuze, nakumbuka zamani ilikua. je ni.ufinyu wa mashabiki hawatatosha ama? Kwa maana uwezo wake ni watu 10000 na baadhi ya mechi Taifa za Azam vs Yanga/Simba ni washabiki hao hao hawazidi.
Je ni kwa ajili ya mapato? Sidhani kwa maana Azam ni self sustained team, kama wnahisi wanakuwa comfortable kumpasua mnyama ama utopolo pale Chamanzi haina haja ya kwenda kukimbizwa Taifa wabaki pale pale kwao ChamanzI.