Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Mkuu rudia kusoma upya hiyo story ya Kitila, form four alifanya vizuri, form six alipata matokeo hafifu na chuo alifanya vizuri kiasi kwamba alipewa barua ya ajira kufundisha UDSM.
Source: Prof Kitila Mkumbo.
Weka hiyo nukuu maana sijaona hiyo unayoisema, shida nin kuiweka hiyo source hapa kama ipo?na kama haipo umeitoa wapi then?
 
hilo la Membe kufukuzwa kazi Usalama wa Taifa limenitisha sana. sasa akiwa rais itabidi alipize kisasi kwa former spies au itakuwaje?

Tuoeni details zaidi za yeye kufukuzwa TISS

Naona ata ukikutana na kichaa barabarani akakwambia kuwa yeye ni Baba yako utaenda kwa mama yako kuuliza kama kweli ni baba yako?

Usichokulie serious vitu vingi vinavyoandikwa humu, watu wanajiadikia tu mambo ya uongo wakijua kuwa kuna watu kama wewe watameza bila kutafuna.

kama lengo ni kujua, basi fahamu tu kuwa huo ni uongo tu kama mengi yaliyopo kwenye thread hii, watu wamo kazini humu kuongea lolote ili muradi wanayemtumikia awape pesa mkono uende kinywani.
 
membe labda awe rais wa wama kwa sabab hata familia imemshinda itakuwa urais!!
 
Na ingekuwa vyema pia na wewe ukaanika ukweli wote ili kumwaminisha maneno huyo ulie m'quote
 
Kama TISS hawakumkubali then, je watakumkubali akiwa rais?

these are serious allegations na I hope zitakuwa addressed in detail na wachambuzi wa masuala ya usalama humu
 
mradi wa maji CHIUE miaka zaidi ya nane bila mafanikio,kituo kikubwa cha polisi mtama(ata nikimaliza mm siwezi fungwa hapa),ujenzi wa daraja la NACHUI,ufufuaji wa kiwanda cha korosho mtama kile LINDI FARMERS na miradi mingi hata hakuna kilichokuwa sawa,ufuatiliaji wa wilaya ya mtama labda ni ubinafsi maana alitaka makao makuu ya wilaya wawe kijijini kwao RONDO,Kawagawa madiwani wa MIHOGONI ndugu NATOSA na yule baba mdogo FADHILI MBINGA wa majengo sasa kiloa mtu na lake...nakubaliana na mtoa mada kati ya kiongozi ambaye atakuja kufanya vibaya tanzania hii ni MEMBE atakuwa bora ya JK wa pili...nakumbuka kuna wkt nikiwa shule alikuja TANITA kugawa baiskel kwa wenye viti wa vijiji akiwa na wazungu na alipoulizwa kwann jimboni hapatikani aliwaambia yuko bize na kazi za kitaifa na mara nyingi uwa yupo canada....membe si kiongozi imara
 
wewe ni boya tu,huna jipya,wewe umekunywa mkoja wa mama yako ndo mana unakuja kuharisha tu hapa.shame on you!
 
huyu ndiye aliyekula hela ya gadafi ya msikiti mtama baada yakunuka ndio kaenda kujenga msikiti wa kiwango cha chini kabisa
 
Aisee naona mpiga kura wa Mtama kaja kufunguka,
 
Mingapi ni sugu? Nini kimefanya kuibuka migogoro mingine?

mgogoro na malawi umekuwepo toka nyakati za kamuzy na mwalimu; mgogoro na rwanda pia na kenya ni kama homa za masika inapanda na kupoa. kuna mwaka "vijana" walifanya "hot pursuit" mpaka ndani ya rwanda, umesahau hadithi za "nyang'au", au wabongo kufukuzwa kenya na kuachwa mpakani, je kufunga mpaka na kenya? ...

lakini ngoja niishie hapa maana naona naweza kuwa nacheza ngoma nisiyoijua. acha niwe mtazamaji tu.
 
Membe ameibua migogoro mingi ya kimataifa,haendi ktk suluhu wakati muafaka.
Suala la utalii kati yetu na kenya pia linamhusu ila hasikiki.
Ifike sehemu tuwe na foreign minister aliyelanduka kama ALSAHAF ama waziri Mkuu wa zamani PAKISTAN NAWAZ SHARIF ambaye husikika kila mara
 
Mafisadi wajiandaa kuchafua Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake: Taarifa tulizozipata zisizotiliwa shaka ,Ni kwamba Genge la Mafisadi likiongozwa na baadhi ya wahariri na kijana mmoja Mwenye asili ya Kisomali anayetoka kanda ya Ziwa,limejipanga kwa vita ya kuanza kuwachafua, baadhi ya viongozi wa chama na waasisi wa Taifa hili ikiwemo Familia ya mwalimu Nyerere.

Mkakati huo ni mahususi kwa ajili ya kuhakikisha kila anayejiandaa kuchukua fomu kupambana na mgombea wao anachafuliwa kama alivyochafuka Mzee wao anayetaka Urais kwa udi na uvumba.Baadhi ya vijana hao wamepanga kuendesha mkakati huo kupitia Mitandaoni na baadhi ya Wahariri,akiwemo Mhariri aliyeshambuliwa miaka miwili iliyopita na kwenda kutibiwa Afrika kusini.

Wataanza kuendesha mkakati huo kuanzia Jumatatu hii kwa kutumia vyombo vya habari vinavyomilikiwa na mafisadi hao. Hasira hizo zimekuja baada ya JK kutamka CCM haitompitisha mgombea yeyote mwenye doa,hii ni hatari sana!
Nawasilisha,
UKANA SHILUNGO.
 
Chama cha Mapinduzi ni Hazina ya Viongozi.
Kila Siku Mtajadili watu Humu Lakini Hamtawamaliza na Wote wanasifa za Kuwa Marais wa Nchi hii Kupitia CCM.

Kumbukeni Membe Hana Jistoria yakushindwa wala Madoa ya Uchafu ktk Safari yake ya Uongozi ndani ya Wizara Na Mpaka Huko Nyuma alikotoka.
Ivo Tujadili kulingana Na Uhalisia wa Jambo husika.
Mwaka huu Tukienda Kwa Mihemko ya Mapenzi yetu Hatutampata Rais Makini atakaetusaidia
 
Kuna mtu mmoja wa people's power amemweleza kama mtu mwenye uwezo mdogo kiakili katika historia yake ya maisha. Mie nilisham-delete kwenye list ya watu wanaoitwa viongozi. Hafai kabisa kama wasivyofaa viongozi wote wa CCM, isipokuwa Warioba na washirika wake.
 
MATUKIO-MICHUZI: Hon. Membe addresses UN General Assembly

Mkuu icheki hiyo link,jiulize
  1. Waziri mkuu alikuwa wapi,
  2. na makamu wa rais alikuwa wapi mpaka atumwe membe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…