Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Membe wanamtaka ili arudishe ufisadi Tanzania.
Lissu na Malim Seif wanawataka ili kuja kuvunja muungano na umoja wetu. Tanzania iwe Tanganyika dependent state na Zanzibar irejeshwe tena kwa Sultan wa Oman.
mbona tuna vitu vingi vinavyoitaji sema tu hawana ushawishi tz kama wa chinaCIA hawana interest na siasa za bongo. Ndio maana unaona hawahangaiki. Ila kama tungekuwa na kitu wanacho hitaji kwa gharama yoyote.. wanaweza kumuweka mtu wao. Bas tu hakuna jipya kwenye siasa za bongo.. ni uootev wa muda
Nina uhakika kutakuwa na uchaguzi mzuri kwa wana CCM kumteua mgonbea wao kiahalali. CCM ya sasa hivi ina watu ambao wana msimamo kama enzi ya Mwalim Nyerere. Hawana watu wenye longolongo.Huyo aliyeko madarakani akiondoka nae ataweka MTU kwa gia yyte ile maana ndio desturi ya ccm , labda itokee ugomvi tena kama ilivyotokea kwa jk wakigombana kugombea urais wao kwa wao basi hapo itakuwa sandakarawe yoyote ataunyakua na hatujui atakuwa kiongozi wa aina gani
mbona tuna vitu vingi vinavyoitaji sema tu hawana ushawishi tz kama wa china
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
WeweBenard Membe hawezi kusimama na John Magufuli hata kwa dakika 20. Kazi ya Magufuli inaonkena lakini ya Membe ni kusimulia/kujinadi zaidi, kila Mtu anaamini katika ishara na Vitendo sio rahisi kuwaaminisha Watanzania kwamba Membe anamzidi Magufuli sio rahisi!
Mwakyembe atakuwa kazeekaNina uhakika kutakuwa na uchaguzi mzuri kwa wana CCM kumteua mgonbea wao kiahalali. CCM ya sasa hivi ina watu ambao wana msimamo kama enzi ya Mwalim Nyerere. Hawana watu wenye longolongo.
Mimi natabiri aidha Dr Harisson Mwakyembe au Mama Samia Hassan Suluhu mmoja wao anaweza akawa mgobea wa urahis wa CCM 2025. Tunaweza kwa mara ya kwanza tukapata Rais mwanamke. Although mimi binafsi my favorite wangu ni katibu mkuu wa sasa wa chama Dr Bashiru. He is a decent man and he has the personal character to be one!
HahahahahahaHawamtaki tena Lissu!
hahaa agiza balimi mkuuI'm loving this..Just Outstanding!
Enjoying the moment, and feeling every beat!
hahaaHaya kachukue buku7 kutoka kwa makonda
HeheYaani Watanzania bwna tunapenda kujadili
Upuuzi upuuzi tu
muda wakujadili mambo yaaana kutwa udaku
SureJK and his family wont be there to help him as they did in Dodoma. I cant find anything special to him as a presidential material.