Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Wanaccm naisi uko ndani hapakariki lipo jambo linaendelea ila mm nasema vyovyote viwavyo nchi hii haimuitaji mtu anae itwa membe hata kidgo.

Tumwache mzee wa chato amalizie msimu wake vyema kwa kweli atatuvusha ila membe aise atatuzika.
2020 twende na Maembe mkuu... Acha utoto
 
So predictive analysis that was proven correct, and still proven correct! after losing the party nomination, three years later he still can't be proven the opposite except those who just wish for lame dark leadership style.
 
What has so much changed between now and 2012 by this ambitious man?
 
Acha ujinga wako hapo aliyepinga hayo alikuwa na sababu?
Kwani kukamatwa law ndege siyo kweli kwamba tunadaiwa? Unaishi wapi wewe? Wewe mtu akikudai na kuchukua kitu chako ili umlipe unakasirika?
Nchi ambayo ina sheria ya manunuzi unamruhusu vipi mtu (huyo mnayemuita mzalendo) akae na mtengeneza ndege chumbani waagizane ndege? Ivi 10% ya kununua ndege ni shilingi ngap?
Bunge lilipitisha lini pesa za kujenga na kununua hayo MADUBWASHA ULIYOYAKARIRI KAMA KASUKU?
Jitu linavunja katiba na sheria wewe unabweka na kukatika mauno kama upo CHAMWINO KULE MNAKOTUCHAGULIA VIONGOZI VICHAA KWA KUTUMIA TAARABU??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unyumbu wewe, hizo katiba na sheria fuateni hapo ufipa mlipobadilisha vipengele ili mbowe awe mwenyekiti wa milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF ya 2008-2013 ilikuwa makini sana . Sijui virus wa aina gani aliingia kwenye hii kitu.
Sikuhizi Nahisi mental institution imehamia hapa.
 
Membe hamna kitu hapo, na upinzani muache ujinga wa kuzoa zoa mabaki ya magamba.
 
JF ya 2008-2013 ilikuwa makini sana . Sijui virus wa aina gani aliingia kwenye hii kitu.
Sikuhizi Nahisi mental institution imehamia hapa.
Control ya uongozi wa JF ndo umekuwa mbovu! Kila kinachopostiwa kinaachwa na kupata michango na watu wanajiamini kila kitu kinastahili kuwekwa JF. Nahisi pia viongozi wa JF wamekuwa na milengo fulani hasa ya kisiasa. Badala ya kuwa moderators wamekuwa mashabiki wa watu fulani. Jukwaa la siasa lilishakuwa la kuaminika sana ktk nchi lakini kwa sasa ni kama kijiwe cha fundi viatu.
 
Acha unyumbu wewe, hizo katiba na sheria fuateni hapo ufipa mlipobadilisha vipengele ili mbowe awe mwenyekiti wa milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
nieleze unyumbu wangu nami niweke hapa ujinga wako wa kushindwa kuhoji mambo ya msingi we umekalia kusifia?jibu maswali jenga hoja .mbowe anaingiaje hapa.punguani wahda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…