Why BONGOFLAVA?!

Toboamambo

Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
26
Reaction score
5
inaniuma sana na kunishangaza sana eti wasanii wa tanzania wanaimba bongo fleva,jamani!!!!!!watu wanaumiza vicha na kuimba nyimbo za HIPHOP or RnB lakini wanaishia kuitwa BONGOFLEVA..
naona sasa ni wakati wa wasanii kupaza sauti zao kwa pamoja na kukataa ii mambo ati,inaniudhi sema sina la kufanya..... wanamziki wa HIPHOP na RnB nawasihi mpiganie na kupinga hili jina,kuwa ni tz song isiwe sasa na hili lijina bana,mnatuburudisha sanaaaaaa ukisikiliza kama Chizika Song by FBG Ailofanywa NoizMekah sijui tutasema tena BONGOFLEVA????

wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
pingeni hili jinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mnaimba HIPHOP n RnB
kama mnabisha sasa ni kazi kwenu...
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hutaki jina la bongo fleva?
 
Whats wrong with Bongo Fleva??
 
dah huu mjadala tulishakuwa nao sasa nashindwa kuelewa inakuwaje ni breaking news?

Utata huu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…