Why Christianity is at a high decline in Europe at the expense of Islam?

Its not in Arab countries its in UK most of the muslims in UK are of African origin Pakistan India and Malysia Arabs are very few, so the question of petrol dollar doesn't rise here don't mislead pple.
Kwa moyo wangu safi mimi hapa nakufanyia marekebisho kidogo.Sijapenda tufike hatua hii ila ni kwa sababu umeleta mada ya hovyo sana

It is not in Arab countries but in the UK.Most of Muslims in the UK descended from Africa,Pakistan,India and Malysia.Muslims from U.A.E,Saudia and blah! blah!(Arabs) are very few in the UK.So,the question of their wealth has nothing to do with what you claim.So, do not mislead people.
 
Muslims can be undermined cotempted called all sorts of terrorist names, but when it comes to their religion, even a drunkard Muslim is ready to defend Islam, what is the secret behind Islam?
It is Allah's religion
 
Uislamu dini ya haki. Hata mie nataman kuingia. Tatizo mume wangu!
Allah akuongoze mpenzi. Pia fikiria siku ya kiyama hata mama atamkimbia mtoto , je mume unafikiri atafanya nini ili aipate pepo ikiwa kule ni amali tu ndizo zitatufaa tulizozitanguliza
 
Nakazia tu wadau, kuna mwandishi mmoja , anaitwa salim boss kayaongelea hayo kwenye kitabu chake kinachoitwa wao ni waerevu mnoo au wajinga mnoo, kaongelea hayo pamoja na takwimu pia.
 
No way, it can't be true
 


You have to abide by the Jf laws, in this forum as per regulations, the medium of communication is English.
 
Si UK Tu ni nchi nyingi za ulaya. Kuna Mengine yamegeuzwa baa
Leta ushahidi sio kusema kila mtu anaweza kusema lolote, ukweli ni kwamba uislamu hauzuiliki katka bara la ulaya, tangu Sept 11 2001 kina semekana hidadi ya wanao Ingia dini ya uislamu nchini uingereza tu imeongezaka mara 3, kwasasa waislamu wako zaidi ya 6m nxhini uingereza karibia 10% ya population yao, vist Google enclopidea kuprove.
 
Hiyo ni juhudi kubwa zikizoAnzishwa na wakimbizi wa Kisomali, walipoingia kwa wingi nchini uingereza na ulaya kwa ujumla, waliona Makanisa hayatumiki na yake madogo kugeuzwa Bar za pombe na umalaya, ndio wakaulizia councel wakambiwa yanauzwa, wakachangishana na kununua kanisa la kwanza na kuligeuza pahali paa ibada za Kiislamu. Walifungua njia na juhudi hizo zimefika USA.
 
Ila huku kwetu akina Gwajima wanakusanya 10% kwa waumini wao, wanajijengea nyumba za fahari, kununua ndege, kutembea na wake za watu, magari ya fahari, lakini kujenga kanisa wanaona ni hasara kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…