Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
- Thread starter
-
- #21
What is new here? All is the same with other banks. You need to be more creative and come up with new products/feature. We are tired with copy and paste products. Sorry for that.
Mkuu masuala ya loan vipi kwenye bank yenu huko? Nipe mchakato mzima upoje.weka pesa bank kwa manufaa yako.
Mkuu masuala ya loan vipi kwenye bank yenu huko? Nipe mchakato mzima upoje.
Personal loan.loan ya aina gani kaka....sababu zipo nyingi yaani za makampuni na mishahara na hata za fixed deposit
@ sun wu! Ni kweli kaka Sijui kwa nini hawa jamaa wana haji service fee each month! I think watawavutia sanaaa wateja wakiwa na free checking and saving account. Na ni kweli their charges ni kubwa kuliko interest. stanbic ni aje we zangu! Nafikiri kuhamia uko...... Crdb wamenishinda
hiyo inategemeana na mshahara wako na pia kampuni unayoifanyia kazi kaka....plz kindly inbox me your no and i will giv you a call tuongee kwa mapana zaidi. karibu sana.Personal loan.By marhaba
loan ya aina gani kaka....sababu zipo nyingi yaani za makampuni na mishahara na hata za fixed deposit