B Bravo Mike JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 548 Reaction score 631 Jan 11, 2015 #21 Aliumba vitu vingi then akakukataza usivitumie baadhi yake kama uwe mtihani kwako utaufaulu au utafeli ? Mtihani haungekuwa na maana ya mtihani kama angeumba vyote vilivyo halali pekee..
Aliumba vitu vingi then akakukataza usivitumie baadhi yake kama uwe mtihani kwako utaufaulu au utafeli ? Mtihani haungekuwa na maana ya mtihani kama angeumba vyote vilivyo halali pekee..