Why did I get married?

ups and downs in marriage life.. normal thing
 
mi nimeoa kwa sababu haka kabinti nilipokatokea kila gia kalikuwa kanaikataa mpaka nilipokaambia nitakaoa
kakakubali,but mpaka nilipotoa mahali na kuweka mambo hadharani ndipo gulipoanza kusafiri pamoja

Mlipoanza safari, kalikuwa hakajasafiri na mtu mwingine yeyote au kalikuwa kameshasafiri mpaka kakachoka na safari ndo maana kakatia ngumu kusafiri, safiri bila kufika mwisho wa kituo.
 
Binafsi katika maisha yangu ya ndoa kuna wakati najiuliza hili swali, ila ni pale napokuwa nimechukia sanasana na vitu fulani ambavo amenitenda....

Hapohapo kuna wakati najikuta nina furaha sana na ndoa yangu.....na pia kuna wakati najiona the lackiest woman to be married with him.. nikiangalia kids ndio kabisa nabakia speechless....Pia kuna wakati nahisi napendwa sana kupitiliza na wakati mwingine naona vice versa.... All in all maisha ndivyo yalivyo kila siku sio jumatano au mwaonaje wakuu?

Gaga,

We are all sailing on the same boat.

I have liked your thread! You have shown both sides of the coin, love and marriage is not all about happiness, but also sadness and the like.
I have gone through sleep less nights, sometime I am asking myself, why? then after two days all is over and naendelea.

The great marriage is not to find a right couple, but to fins out how to live with your partner!

Gaga, that is what you are doing!

Congratulations!
 
Bishanga umeacha mara ngapi? duh
 

Husithububutu kuwalizisha watu mdogo wangu. Endelea kuomba Mwenyezi Mungu akupe mume mwema.
 

Kama wewe ni mkristo ili kujua sababu ya kuoa ama kuolewa kasome Bible. Pili culturally ndoa kwanza halafu kids yaani kuwa na family - kuendeleza ukoo na kuleta human resource ya baadaye. Je, yeye hajawahi kufikiria kama wewe? Na ni vitu gani hasa vinavyokuchukiza?
 
Nakumbuka, uliniahidi utanipenda mpaka mwisho wa maisha yetu, iweje leo umenigeuka mpenzi, umenifanya naona dunia chungu, i thot i was the one for you!! darlingsweetheart... please angalia tulipotoka na malengo tuliyojiwekea...nimekusamehe mpenzi wangu usirudie tena please!
 

Pia inategemea na aina ya ndoa. Maanake aina nyingine inaweza fungwa asubuhi na talaka kupigwa jioni!
 
mi nimeoa kwa sababu haka kabinti nilipokatokea kila gia kalikuwa kanaikataa mpaka nilipokaambia nitakaoa
kakakubali,but mpaka nilipotoa mahali na kuweka mambo hadharani ndipo gulipoanza kusafiri pamoja
Kajanja sana hako
 

Sasa nyie mmekuja ku-argue humu ndani. Wilbald ndio mumeo?
 
Kuna siku waif aliondoka kwenda likizo........alinambia anataka akakae kwa wiki mbili. Nikamlazimisha akakae japo wiki tatu au nne kabisa....
Haikupita wiki nikampigia simu arudi haraka sana...........na alivyorudi alikuta kitanda alivyokiacha ndivyo alivyokikuta. Viatu kimoja kiko kaskazini kingine kusini, soksi nyingine ziko kitandani, shuka lilelile, neti haijawahi kupandishwa...... Ndo nikagundua umuhimu wa mke wangu....

Nadhani nimeeleweka. Ambaye hajanielewa anyooshe kidole juu.
 

Yaani mke na housegirl ni tofauti kabisa!!!
 
Kwani Ndoa ni "Kifungo Cha Maisha"?
Ina tegemea na mkataba unaotaka hata kanisani unaulizwa ndoa ya wake wangapi kwenye cheti pameandikwa kabisa , na kama hutaki kifungo zipo za mbadala wake
 
Mkuu inaonekana hata nanihii unamwachia anafua au? ila kuna waume wanapenda kufanyiwa kila kitu kama wewe Asprin na wanajisikia raha sana, hapa inategemea na mke mwenyewe mwingine ni mama wa nyumbani masaa 24, huyu hana sababu ya kutomfanyia mumewe yote haya, na kuna wale wafanyakazi mmerudi wote mmechoka then mmoja ananyoosha miguu kuangalia tv mwingine anahangaika na kazi za ndani hii sio fair kabisa, hapo kwa namna hii hukawii kujiuliza swali nililouliza hapo juu
 
Yaani mke na housegirl ni tofauti kabisa!!!

Nakumbuka nilitahadharisha, ambaye hajanielewa anyooshe mkono we hukutaka....sasa unamlinganisha mke na housegirl...........imetoka wapi hiyo?
 
Jamani nilisema kama hamjanielewa mnyooshe mikono juu niwafafanulie........

Sijasema napenda kufanyiwa..........umejuaje kama yeye ndo anapenda kunifanyia?...........Ukweli ni kwamba huwa tunafanya wote.... Nanukuu "Hebu amkaga huko bana, kumeshakucha.....pandisha neti upande wa kule mi sifikii (kwa kudeka kidogo)....hebu vuta shuka upande huo....Jamani na hivi viatu ndo uliviwekaje? Hebu nisogezee hapa nivipange............." Mwisho wa kunukuu, na vitu kama hivyo.

Kama unahitaji ufafanuzi zaidi uliza nitakujibu.
 
Hahaaa nahisi hata kuoga ulikuwa huogi wewe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…