Why did I get married?

Aku.........mi kukoga nakoga mwenyewe, sema ye ananisaidia kusugua mgongoni....na dodoki lake .....akirembua tunafanya baba na mama huku tunakoga LOL
Hili eneo zuri sana ukijua kulitumia ipasavyo, babu big up
 
Ubarikiwe kaka mko wachache sana dunia hii
 
Ukiipatia hiyo kwenye bold basi mambo yako yote poa, hongera mwanajamiiOne kwa kujielewa
 
Ni wachache ambao huwa wanajijua wameolewa kwa sababu wamependa wenza wao na wana uhitaji wa kufanya hivyo kutoka moyoni. Wengine ni mkumbo, msukumo kutoka familia anayoishi, hali ya kiuchumi n.k.
Dah! Ngoja nijiulize kwanini nitaolewa!
 
Mhhh mpaka uolewe ndio uje kuchangia? basi mpaka upate na uzoefu kwa hiyo nikutegemee humu miaka mitano ijayo sio eee, hahahahaaahaaha umenichekesha sana BB
To be honest mie huwa najiuliza hata sasa sidhani kama mpaka uolewe ndio ujiulize kwa nini upo na mtu fulani, ulitulimit pale tu uliposema "why did i get married" ndio maana tumekimbia fasta, ila maisha haya tunayoishi ya kujisogeza mwenyewe pia huwa tunajiuliza sana.. kwanza unamchukia mpaka unajuta kumfahamu siku akikuudhi then baada ya muda mfupi na kubembelezwa unaanza kujiona wewe ndio wewe na maisha yanakwenda kama kawaida
 

Napita jamani...mbavu zangu mie...
 
labda mtu ajiulize kwanini naoa au naolewa ili asijejishangaa badae why dd i get married? akiwa na majibu mapema basi yatampa moyo na ndoa inasonga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…