Why did you get married?

Amyner

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
2,396
Reaction score
882
Those in a marriage have you ever asked urselves "why did u get married??"
share your answers with us..

Hili suala si tuliwahi kuulizwa? au hii ni Part 2?

Labda hii ni Why did you get married? II

Last edited by a moderator:
Hahah..ukiona hivi ujue tayari tumeshaishiwa vyakuandika!

kama wasanii wa bongoflava,...kila siku kurudia rudia masongi,...kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli*2

Go and watch "why Did I get married" utapata majibu bana...

Kaizer duh ni ngumu
Aise ile movie huwa naiangalia kila mara ila bado sijapata mfanowe
Ngoja na mimi nijiulize

Kaizer duh ni ngumu
Aise ile movie huwa naiangalia kila mara ila bado sijapata mfanowe
Ngoja na mimi nijiulize

Ase Rocky ile iko poa sana we acha kabisa

ukipata jibu uje utuambie ila nadhani alipswa kuiona kwanza ile

Ase Rocky ile iko poa sana we acha kabisa

ukipata jibu uje utuambie ila nadhani alipswa kuiona kwanza ile

Kaizer ngoja niiangalie then nitarudi kukuambia hata kwa PM
Ila dogo aitafute aiangalie ndo atapata majibu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…