short guys with cash?????/
unamjua Reginald Mengi?
Regarding a person, 'Of a height less than average"Define short..?
Kwangu mfupi au mrefu haijalishi as long as ananiheshimu na kunijali.anaweza kua mrefu Kama mnazi Kama Hana adabu wala mapenzi kimo chake kina maana gani?
Mie mwengine wanini unvyonienzi hakuna Kama wewe na kimo chako ni size yangu kote kote..........this is why you are my Arabian falcon...........full of wisdom....................am short but I never palpitated in dating gals of my choice..................may be this is a personal matter rather than generalizing it let us go a case by a case for start.............
Nadhani sababu kuu inayowafanya wasipende kuwadate wanaume wafupe ni kwa sababu wanawake wengi wahapendi kuwa na mahusiano na wanaume ambao wao wamewazidi urefu. Embu pata picha wametoka out wakiwa wamekumbatiana halafu kichwa cha jamaa kinaning'inia kwenye matiti ya demu. si aibu hiyo?