Why Do Ladies No Longer Play Hard To Get?

Wako kibiashara zaidi, so chelewa chelewa ..........
 
hii spidi yenu inatisha...juzi nikakutana na kibishosti flani kinakaa kitaa..huwaga nakiona ila nakipotezea..nkakutana mida flani hivi time za ijioni...nkakibananisha..kikaingia line siku hiyo hiyo..ila kibaya zaidi ..kikaanza mizinga siku hiyo hiyo..nikajua kumbe kukubali kwake ilikuwa sababu ya kunitoa upepo..nimeshtuka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…