Why do men fall asleep soon after coitus?

Mimi nitoe experience yangu ktk hili. Kati ya wanaume watatu niliowahi kutoka nao hadi sasa, wawili walikuwa wanalala baada ya ku..j. (kati yao mmoja aliwahi kupitiwa na usingizi akiwa kanilalia juu yangu kabisa yaani baada ya kufika kileleni, nilishangaa, nikamsukuma pembeni nikaenda zangu bafuni). Huyu mmoja ambaye ndio wa tatu yeye halali, akimaliza hiyo kitu stori na mambo mengine yanaendelea!
 
kiswahili plzzzzzz,bado hatujaingia kwenye digitali!!!!!by ze way ngoja na mimi nika coitus ili nilale !!!lol
 
kiswahili plzzzzzz,bado hatujaingia kwenye digitali!!!!!by ze way ngoja na mimi nika coitus ili nilale !!!lol

pamoja na maelezo yaliyotolewa, kulala kunategemea kama:
mwenza si wa wizi
chumba kama sio cha short time n.k
 
theory nzuri sana hii... ukisikia usingizi umepaa, unatafuta kitu unapiga coitus tu then unalala kama gogo teh teh teh...
 
Pamoja na copy & paste, mkuu piga hodi na salaam kidogo. Nauliza hivi, baada ya coitus, hawa viumbe wa kike huwa wenyewe hawapitiwi na usingizi? Kama jibu ni 'yes', kwanini inakuwa hivyo?
 
Pamoja na copy & paste, mkuu piga hodi na salaam kidogo. Nauliza hivi, baada ya coitus, hawa viumbe wa kike huwa wenyewe hawapitiwi na usingizi? Kama jibu ni 'yes', kwanini inakuwa hivyo?

inategemea mtu na mtu.... kuna mabinti ukimshushia mzigo wa kutosha wanalala kama wamezimia vile
 
Mi nadhani hii ni mutual hata upande "ke" ukishughulikiwa vyema na kuwezeshwa kupata mishindo Kadhaa nao hulala na kama hutakuwa na mautundu ya kukumbuka kumswafi anaweza kupitiliza hadi . . . Swala ni mautundu tuu, maana by experience hata upande "me" Kama haujapewa mchezo na mautundu ya kutosha swala la kulala huwa linabadilishwa na Hamu ya kutoka bed kwenda kucheki TV AMA wazo la kuondoka sehemu ya tukio.
 
The research completely relates to the real world experience , Personally I read it effectively and I realized the accuracy of findings!
 
pamoja na maelezo yaliyotolewa, kulala kunategemea kama:
mwenza si wa wizi
chumba kama sio cha short time n.k

Na kwa wale wanaopiga mzigo kwenye uchochoro au jumba bovu sidhani kama wanaweza kulala!! .......
 
Na kwa wale wanaopiga mzigo kwenye uchochoro au jumba bovu sidhani kama wanaweza kulala!! .......

Ni kujiendekeza mbona wakifumaniwa wanatimka mbio kuokoa maisha yao?
 
Ukiwa kwenye jumba bovu au kwenye uchochoro,nadhani brain inajua kuwa kuna hatari inakuja zile fluids hazitoki kamwe,inabadikia sex desires tu ukimalizana brain inakuwa iko tense bado....sababu eneo sio zuri kufanya brain iweze ku relax na kutoz zile fluids (napita tu)
 
i guess theres a difference between a nap and a sleep...read with intentions to understand not to critique...understand first critique later

And I dint see anywhere the word nap.........ok I will critique (whatever that means) later!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…