fafanua kidogo mkuu, sijakupata vizuri pengine hicho kidhungu kinanipa shida
let me help you wapi haujaelewa mkuu?
upo haya nasubiri hiyo sehemu ya kukueleweshaswali juu ya swali, haya bana!
upo haya nasubiri hiyo sehemu ya kukuelewesha
mkuu kumbuka wakalimani wanalipwa kiufupi anasema amesikia watu wengi wakisema wenza wanaotofautiana kimuonekanoniandikie kwa kiswahili mada nzima manake sijaielewa
enter google translation
I've heard so many people say that their partners are totally opposite to them in personality, but instead of causing conflict, the relationship seems to work perfectly.
Do you think these 'opposites' complete each other and make for a better relationship than if you chose someone similar to you?
LOL 😀. lakini Boflo alisema ana mke kwenye thread hii hapa mke-ananichapajamani inaonekana watu hamjamuelewa Boflo,mi nimemuelewa kuliko maneno yake yanavyoweza kueleza!kifupi Boflo ni kama anauliza yeye ni mwanaume kwani kuna shida gani akiamua "kutolewa" na mwanaume mwenzake!si ndio Boflo unataka tukujibu hapo?
opposites compliment each other and produce synergy, thats why it works.