Daaaaaah hiii kali kongosho we kiboko.We cheat because:-
1. Haramu zote tamu e,g. cheating, bangi, gongo, kitimoto, maunga ya maharage.
2. Rules are there to be broken
3. Nyama inachosha, bora kuonja na dagaa kwa jirani
4." Law use and misuse", anayekitumia kwa watu tofauti tofauti ndo anakuwa na nguvu zaidi.
Cheaters endelezen na mengine.....
wanawake wengi kuliko wanaume,dini zingine zinakataza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja,mwanamke ambaye hana mume hitaji lake ni sawa sawa na mwenye mume,hivyo lazima wasaidiwe na wao wapate hiyo raha
wanawake wengi kuliko wanaume,dini zingine zinakataza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja,mwanamke ambaye hana mume hitaji lake ni sawa sawa na mwenye mume,hivyo lazima wasaidiwe na wao wapate hiyo raha
Mhh halahala usije kuonjwa na wewe lolKila cku mchicha tuuuu..,tunaonja na kitimoto siku moja moja.
Wakiwa wengi we inakuhusu vipi kwani ni ww uliyewaleta duniani? Ni kuendekeza tamaa za kimwili kusiko na faida
Wanawake wazuri warembo kila wanazaliwa. Nikimwona Mwanamke mrembo namfukuzia mpaka nimpate, tena wakati namfukuzia najisemea moyoni kuwa hakuna mzuri kama huyu. lakini nikishamweka kwenye himaya, anatokezea mwingine mrembo kupita yeye, kwahiyo inakuwa shughuli kweli.
Lazima utakuwa mwongo kama wewe ni wakujirusha na wanawake wengi, maana hawatapenda kusikia unapanda mbegu kila mahali.
Ni kweli atii na wengine wanafundisha wengine wanapotosha wenzao kwa makusudi !!akili kumukichwa lolDunia uwanja wa fujo!!! Ukitaka kulia au kucheka jiunge JF.