Kucheat????????????????
Nafikiri mimi kikubwa zaidi ni maudhi yasiyoisha kutokujuwa wajibu kati yao kuona kuwa tayari amefika na hakuna zaidi . tamaa isiyo na maendeleo mashoga na washirika/wanaume
Wenye kipato kuona mwenzako kama vile kinyago na akigundua atatafuta wapi atathaminika