The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
- Thread starter
-
- #61
Sunday nitakuwa Vatican Saint Peter's Basilica to witness a solemn beatification ceremony of Pope John Paul II...astaghafirullah!
...ee bana wee, ili kupata better view muda wa '1st Kiss,' pale balcony,
nimeonelea bora kujibanza hapa karibia na South Africa Gate, nje ya B'Palace!
Halafu wewe
Nimeishakulipia pale British Council kozi ya mwaka mmoja ukasomehalafu wewe na hiki kidhungu.
Hebu njo unilipie ada ya inglishi kozi.
Nimeishakulipia pale British Council kozi ya mwaka mmoja ukasome
Nikiunga kwa mtiriko wa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa sredi, maneno yaliyobalishwa rangi kwenye sredi, na yakawa bolded napata hii sentesi
MORE ALONE YOU ME OTHER REALLY ATTRACTION NEVER WUSSIES ATTRACTION ATTRACTION AFFECTION ATTRACTION PREDICTABLE NOTHING BORING ATTRACTION
GY umeniacha hoi lol!!!Nikiunga kwa mtiriko wa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa sredi, maneno yaliyobalishwa rangi kwenye sredi, na yakawa bolded napata hii sentesi
MORE ALONE YOU ME OTHER REALLY ATTRACTION NEVER WUSSIES ATTRACTION ATTRACTION AFFECTION ATTRACTION PREDICTABLE NOTHING BORING ATTRACTION
hiyo ni sentensi?
Hahaha kaka inabidi uchunguze je aliyonayo kwako ni ATTRACTION au AFFECTIONNimeipenda kaka, Mwingine atakukubalia/kupa sababu amekuonea huruma tu, yaani umelia saana na vijizawadi vyako kavitafuna
Hahaha kaka inabidi uchunguze je aliyonayo kwako ni ATTRACTION au AFFECTION
HahahaHapo hakuna AFFECTION ni ATTRACTION tu, Infact Im not fun of AFFECTION in such relationship Broda! wasaniii wengi siku hizi.
Ina maana Asha D wanawake wengi wanakuwa hawawezi kutofautisha kati ya AFFECTION na ATTRACTION???Ingekua wote wanaopata hizi infor wanazingatia, maisha yangekua rahisi saana kwa sie ladies. Nimefuarahishwa na suala la zima la attraction na affection - it is common knowledge kua the later ndio inatawala sana kwa most ladies.
Na nikweli inabidi guys wajue in most cases we know what they are about to do or what they think, in most cases our predication is on point.
Lugha gongana....
Sunday nitakuwa Vatican Saint Peter's Basilica to witness a solemn beatification ceremony of Pope John Paul II
Hahaha BJ which excitement is that????I will attend this, let me know ila naomba uvae colourful nguo au ushike bendera ya Tz niweze kukutambua pale St.Peters mana patashone..Ubarikiwe!!
Kuhusu topic: Kwangu mimi, the big reason ni 'end of excitement'.. yani excitement ikiisha I've to leave a man.