nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Umenikumbusha mtoto wa shangazi yangu aliolewa nikiwa primary. Jamaa msomi miaka ya 80s ametoka ulaya. Basi yule mwanaume sisi tulikuwa tunamwona hana mvuto (sijuhi kwa nini maana sasa hivi nikimwangalia namuona wa kawaida tu). Sasa sister ni mtu wa kujisikia hivy kuua soo alikuwa anatumabia "shemeji yenu mbaya ila mimi nimependa position yake". Mpaka leo nakumbuka hilo neno "position yake". Sasa sijuhi kama ni kweli hakuwa na mapenzi kwa jamaa au alikuwa anatudanganya. Well mpaka leo wako pamoja na mtoto wao wa kwanza yuko chuo. Na katika ndugu zangu huyu dada amepata mume very caring na sijawahi sikia wana ugomvi mpaka sasa wanakribia kuzeeka. Mume anampenda mkewe kupita maelezo.
Opportunist wapo wengi tu ambao wanaanza kuchunguza what do you au how worth are you, then from there anaanza kuku-chase, critical thinking is what we lack