Nadhani real ni more than superficial..., Mimi I like a nice woman (lakini fake things ambazo zinaongeza appearance yake, kumuongezea confidence na ku-appear jinsi anavyotaka) sidhani kama zinapunguza utu na character yake.. I would not care hata kama ni natural so long as she is confident in her appearance and I like what I see.
After all urembo wake ni kwa ajili yako na yake pia (so long as haikusumbui)