Why don't university of dodoma students'leadership(udoso) resign their positions

kassimu

New Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
2
Reaction score
2
Viongozi wa UDOSO mnasubiri nini kujiuzulu? Wanafunzi wa UDOM wanaishi bila mikopo kwa zaidi ya miezi mitatu chuoni na wakati nyie mpo??kama mmeshindwa kutatua matatizo ya wanafunzi wenu waliowaweka madarakani kuna haja gani ya kuendelea kushikilia nyadhifa hizo?RAISI WA UDOSO unawezaje kujitapa mbele ya jamii eti we ni kiongozi??

Wanafunzi wanawezaje kuishi bila mikopo(BOOM) kwa kipindi hicho chote na akaweza kumudu masomo yake vizuri??Waziri wa mikopo UDOM unawezaje kujiita WAZIRI na wakati unaona haki za wenzako zinapokonywa??kiongozi unawezaje kuwa KILAZA kiasi hiki??eti unaogopa kusimamishwa masomo??

UNAMWOGOPA NANI?? MLACHA?? MSOFE?? KIKULA?? MKAPA??PROF. LWOGA?? MKURUGENZI WA BODI YA MIKOPO?? KUNA HAJA GANI YA WANAFUNZI WA UDOM KUENDELEA KUTOZWA HELA YA UDOSO NA WAKATI WANAFUNZI WAKIENDELEA KUTAABIKA NA MATATIZO BILA SABABU YA MSINGI??

WANAFUNZI WANAFUKUZWA ETI KISA WAMEUDHURIA MIKUTANO YA VYAMA NJE YA CHUO HAFU UONGOZI WA UDOSO UNABAKI KUMBWERA TU??ARE YOU REAL LEADERS? ARE YOU REAL UNIVERSITY STUDENTS??ARE YOUR MINDS FUNCTIONING PROPERLY??DO YOU BERIEVE ON GOD??ARE YOU REALLY TANZANIANS?

YOU BARBARIC, UNCOUTH. PEOPLE ARE GROWNUP BUT ACTING LIKE RUNATICS! ANY LEADER SHOULD BE CAPABLE OF TAKING RISKS!!IT IS SOMING AMAZING TO SEE STUDENTS SUFFERING HUNGER AND OTHER TORTURES WHILE THEIR ARE STAYING ENJOYING THEMSELVES!!KWANINI UDOSO MSIACHIE NGAZI?? IT IS SOMETHING AMAZING AND MUCH BORING! FOR SURE MTAKUWA HAMUAMINI KATIKA MTUME MOHAMED WALA YESU KRISTO!
 

Why don't university of dodoma students'leadership(udoso) resign their positions

Kata University
 

Hebu tuambie unasoma wa shule ipi na kidato cha ngapi..?...maake lo.
 
why don't university of dodoma students'leadership(udoso) resign their positions

kata university
Pale udom wanafunzi wamekuwa makondoo, hata kuhoji kwanini pesa zimechelewa ni tatizo, hembu tufikiri boom la pili kuna watu ndo wamewekewa jana, na wapo ambao hawajapata hata la kwanza( la mwezi wa kumi 2012). Pia viongozi walio pale finence hawana utu hata kidogo mfano mlacha, mwinyi na wapuuzi wengine wapo pale finence. Tatizo lipo juu kwa aliyewaweka pale i mean raisi kwani jamaa wanajiamini kupitiliza. Ila their days are numbered.,
 
why don't university of dodoma students'leadership(udoso) resign their positions

kata university
pale udom wanafunzi wamekuwa makondoo, hata kuhoji kwanini pesa zimechelewa ni tatizo, hembu tufikiri boom la pili kuna watu ndo wamewekewa jana, na wapo ambao hawajapata hata la kwanza( la mwezi wa kumi 2012). Pia viongozi walio pale finence hawana utu hata kidogo mfano mlacha, mwinyi na wapuuzi wengine wapo pale finence. Tatizo lipo juu kwa aliyewaweka pale i mean raisi kwani jamaa wanajiamini kupitiliza. Ila their days are numbered.,
 

walio finence ndio Nini...hebu kuweni makini kidogo basi
 

If you're a university student, learn English grammatical rules very hard. You look to have very poor English. It's not 'berieve' but 'believe'; it's not 'runatics' but 'lunatics'; it's not 'soming' but 'something'; it's not 'suffering hunger' but 'suffering from hunger'; and it's not 'their are staying' but 'they are staying'. All in all, I'm sorry for making these corrections!
 
hiyo ndio UDOM bana inabeba kila kitu by the way hao viongozi wenu hawawezi kujiuzulu kwa sababu ni UVCCM
 
 
 
hapana me nakataa,huyu sio mwanachuo wa udom huyu ni kanjanja wa elimu katoka zake baa na huko kasikia stori masela wa chuo wanalonga kaamua kujipaisha hapa jukwaani aonekane naye wamo!!!!!!we pupil first thing to do komaa ujue ung'eng'e au amua tu kumwaga kibongolandish a.k.a kiswahili utaeleweka tu mkuu
 

Uko sahihi sana. Hata kama huyo ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu kweli, basi nina kila sababu ya kuamini kwamba elimu imeporomoka.
 
Aisee UDOM wana kazi kubwa humu jamvini hadi huruma.HIVi kwa nini?
 
Aisee UDOM wana kazi kubwa humu jamvini hadi huruma.HIVi kwa nini?

Kwa kawaida, lecturer anatakiwa awe Profesa, Daktari wa Falsafa (PhD) au kwa uchache kabisa awe ana Master's Degree. Cha kushangaza, taarifa za kuaminika kutoka Udom zinasema kuwa hata walio na Bachelor's Degree nao ni lecturers . Jiulize, mtu mwenye Bachelor's Degree anamfundisha mwanafunzi anayetafuta Bachelor's Degree? Siasa za nchi hii zinaliangamiza taifa letu.
 

Mkuu una taarifa za kutosha kuhusu hili? Kama unazo tupe hata majina. Maana taratibu za TCU haziruhusu japo mie nimesoma pale Mzumbe miaka ya 2005-2008 tulikuwa tunapigwa shule na ma-TA tu, na walikuwa vyema kuliko Maprofesa, Phd, Masters Holder nk. Sometimes it is better to judge somebody based on his/her capability and not on material things such as certificates etc. However, I don't agree on idea that a TA should take over a class as an individual without any supervision from senior staffs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…