Why Dr. Slaa is now politically speaking “damaged goods”!

FJM......politically speaking.........the guy is "damaged goods" but does not mean he is beyond correction..............

I disgree. Nenda mikoani ndio utaona tofauti kubwa! If any thing, mashambulizi dhidi yake yamethibitisha one thing: Ni tishio. Ongea na wakubwa wa upande wa pili (off record) kama ni wakweli watakiri.

NB: Kwenye point yako ya awali kuhusu CHADEMA kutopinga matokeo ya urais mahakamani, ni kifungu gani cha sheria kinaruhusu kufanya hivyo?
 

Ng'wamapalala Thank you for realizing.......only the truth will set you free..................and now you have been freed from the tortures of denying the truth........................read red parts for further considerations.
 

FJM TIshio au la.................linapimika kwa namna nyingi: Kauli, pia zinaweza kutupotosha. Katiba inasema ya kuwa NEC lazima izingatie sheria ya uchaguzi katika kumtanganza mshindi wa kugombea uraisi. Kama NEC haikufuata sheria tajwa na ushahidi upo Mahakama Kuu itakuwa tayari siku zote kupokea malalamiko, kuyachunguza na kuyatolea mamuzi kama itakavyoona inafaa...

Huo ndiyo msimamo wa Mahakama Kuu katika kesi ya Mrema na wenzie / 1996. Wanaotafsiri katiba ni Mahakama Kuu kwa hiyo tafsiri zenu za kijiweni hazina msaada la ajabu ibara hiyo hiyo yenye ibara ndogo ya kuzuia kufungua mashitaka dhidi ya matokeo ya Uraisi ndiyo hiyohiyo Mahakama Kuu walitumia Ibara ndgo kabla ya hiyo kutoa ufafanuzi.

CDM wanapenda kuuhadaa umma.....lakini baadhi yetu siyo mateja
 


Hiyo yote inaweza kufanya kama NEC hawajatangaza. Wakishatangaza (kwa katiba ya sasa) hakuna mahakama yoyote inaweza 'kutafsiri'. Pamoja na hoja kuonekana kama kuna 'upenyo' it is not easy as you are trying to suggest. And remember 'ukuu' wa mfumo mzima wa utawala nchi hii.
 
I have no doubt with Dr. Slaa's intentions of a better Tanzania and his fights against extensive and somewhat disturbing acts of corruption that are happening under the current administration. For I have witnessed kids that come to study in the UK these days, kids of 'public serving' parents, with these teens having 30,000 pounds in their accounts or receiving grants of up to £2,500 a month is norm.

Nevertheless even with a poorly supervised government and its vast toothless policing bodies such as the parliament, PCCB, TAKUKURU, CAG etc which allows those acts to occur in the first place, Tanzania has many other extensive social and economical problems that require a serious reformist and Dr. Slaa, isn't one to be honest, nor i have yet to encounter a rhetoric development argument on his speeches.

If you ask the English to name one of their greatest modern times hero 'Winston Churchill' will most likely top the chart. Therefore you know if you where to ask for their best PM in that same era his name will top that list too.

Hence it is the same people that accepted the truth of the matter, despite him guiding them through the challenging times of the war, he was not cut to build a nation that was bombed, under huge debts and with a very poor economy: as a result just after the war he lost the following election.

Its just facts of life we are not good at everything, that is to say if Dr. Slaa is a patriot of the nation he should know his limits and his fitting role in the future if opposition were to win. So far he is doing fine but he should let go on the presidential dream because in my opinion he has yet to demonstrate abilities of the challenges that lie ahead in life after CCM. Despite him doing well with raising people's curiosities in their national politics. That is my take it doesn't mean I am right.
 
Ebu chunguza tena kipenge hiki alichobandika katika sababu yake ya #5


Nimesema naheshimu mawazo yake lakini kauli yake si maoni yangu au baadhi ya wengine; hivyo pamoja na haki ya hoja yake naweza kuandika kurasa 5 kuichanachana hoja yake sitaki kwa sababu nyingi tu moja yapo ni kuheshimu mawazo yake hata kama yanapotosha dhana ya democrasia
 
Ntachangia tena baadae nikipata muda wa kuisoma yote ila mchango wangu mfupi kwa wakati huu ni kuwa, mimi nitakacho kifanya ikifika 2015 ni kuchagua mtu asiyekiwakilisha CCM.

Kwa matazamo wa sasa ntamchagua mtu wa Chadema. SIo kwa kuwa nakipenda sana Chadema la hasha.

Ila kwa kuwa kwa uelewa wangu mdogo, sioni kama Tanzania itaendelea ikiwa chini ya CCM. Ni bora basi awepo mtawala mwingine mgeni. Ndani ya miaka mitano, tutaona kama CCM ilikuwa bora au ni bora itokomee moja kwa moja.

Nadhani kuna watanzania wengi wenye mtazamo kama wangu. tuiweke tu CCM pembeni. Upembuzi mwingine tutaufanya CCM ikiwa nje ya ikulu.
 

josephine bila shaka na wewe unafanya kazi mahali fulani ambapo unatakiwa lazima ujue kiingereza sawia..hii siyo hulka ya mtu mmoja mmoja au tulilazimishwa na watu wa nje na tatizo la kimfumo zaidi na kiongozi wa taifa hili toka uhuru. kiingereza ni professional language na kina upana zaidi wa kuelezea jambo zaidi ya kiswahili..

Ukitaka kuchambua jambo kiundani zaidi itakubidi utafute the citizen usome au guardian na siyo nipashe au mwananchi...kiswahili kina limit zake na hii imetokana na uongozi wa taifa hili kutokiendelkeza na kuhamasisha utumiaji wake...Ruta anafanya anachoweza
 
Rutashubanyuma.. we have no choice kwa kweli coming 2015.... A seemingly tired-too much baggage and clueless CCM cadre VS The Vultures-like Political artisans and opportunists of CDM...I pity my fellow voters
 
Hapa siwezi kuchangia kabisa, hii post naona ni ya kiprofessional zaidi na sio kwa common man kama mimi
 

Ung'ang'ane.

Kiingereaza kinakupiga chenga? ingekuwa hajui kukiandika hata mimi ningemponda, lakini amendika vizuri na ameeleweka bila kupotosha maana.

Hizo nchi ulizozitaja kujuwa Kiingereza ni sifa kubwa sana na "prestige".

Huwezi kuwa na mawazo mapana kwa kung'ang'ania lugha moja tu, kila unavyozijuwa lugha nyingi zaidi na ndio muono wako unavyozidi kuwa na upeo mrefu.

Naamini huna upeo wa kutosha kwa hiyo comment yako na hii hoja imekugusa patamu na kwa kuwa ung'eng'e unakupiga chenga, umeshindwa kuijibu.
Rutashubanyuma, umeweka analysis nzuri na iliyokwenda shule. Heko kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:

Good comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…