Mungu usikie kuomba kwetu, wataruka ruka lakini mwisho wao u karibu, mungu anachukizwa na dhuluma na ufisadi wa jasho la wa tanzania wasio na hatia wanakamuliwa kila kukicha kwa kodi na michango lakini watu wanazitia mifukoni, serikali imekodishwa na chama, askari wanafanya kazi za chama,sasa si heri iitwe tu jeshi la kujenga ccm au jeshi la wanachama wa ccm, au jeshi la usalama wa mafisadi na uwizi wao, na mali zao za uwizi. Lakini iko siku. Daudi alimuua goliati kwa jiwe kutumia kombeo,sasa wao na bunduki zao mungu atawashughulikia kwa maombi na machozi ya watanzania wanao nyonywa kila leo. Takukuru nawaonya msinitumie sms za ajabu kwenye simu yangu mnanipa kazi ya kufuta sms na kunimalia charge ya simu yangu bure, hakuna kitu mnafanya, mnafikiri sisi wajinga hatuelewi mchezo wenu. Kama vipi semeni alichofanya mh marmo mbulu, ok zile simu alizogawa rostam kwenye mkutano wa hadhara na matusi juu. Iko siku kitaeleweka tu. Haki yako ni haki yako tu hatakwakunyakua,