Why English speakers termed as educated and they deserve some privilege?

Why English speakers termed as educated and they deserve some privilege?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Ukiwa kwenye jamiii ya kiafrika

Then , ukawa unajua kuongea na kuandika English nzuri sana , automatically unaonekana wewe ni msomi na unaakili sana kuliko wengine , mbali zaidi unaweza ukatengwa .

Asee huu ni upumbavu wa hali ya juu sana

In reality , Neo colonialism Bado inatutesa sana sisi ngozi nyeusi .

Mentally we are not yet independent..
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya elimu na kuongea kiingereza.
Hasa kwa nchi za Afrika mashariki.
 
Siyo kiingereza tu.Kujua na kuimudu lugha kuna raha yake.Hata wewe ukienda kijijini kwenu na unaongea kiswahili nyoofu lazima uliowakuta watakuhusudu tu na kutaka kujua siri yako.Hiyo ni kwa lugha karibia zote kubwakubwa duniani.
Hata hivyo,pamoja na kusindikizwa na kiwango cha elimu kwa kiwango fulani,kujua lugha wakati mwingine ni kipaji cha mtu.Kuna watu wamesoma kwa viwango vikubwa lakini lugha walizotumia huko masomoni bado ni kizungumkuti kwao.Mola awape nguvu wale ambao lugha zinawafua ili wapate tahfifu.
 
Back
Top Bottom