Awali ya yote niwatakieni heri ya chrismas na mwaka mpya.
Ndugu wanaJF kuna mada huwa naiona lakini nmeshindwa kabisa kuielewa, kama wengi tunavyofahamu kani ya uvutano ndio huvivuta vitu vyote kwenda katikati ya gimba( body ) hilo, namaanisha
F= mg
Where
F = gravitational force
m = mass of the body
attracted
g = acceleration due to
gravity ( attracting
body )
Sasa tukija kwenye upande wa vitu vyenye uzito, inasemekana mwanga ( light ) ni packets of energy na hazina uzito ( 0 )
Sasa mgogoro kwangu ni kwamba mwanga unapokalibia kwenye horizon ya blackhole hua hautoki, sababu ni kani ya uvutano karibu na blackhole ni kubwa sana yaweza kua millions times iliyopo hapa duniani
g ( black hole ) inaweza kua 10000000000000 × g( earth ~ 10);
Kwa hiyo kani ya uvutano ambayo mwanga utaipata
Ukirejea
F = mg
F = 0 × 10000000000( approximately )
F = 0 N.
Sasa kama mwanga utavutwa kwa kani ya 0 Newtons ina kuaje mwanga kushindwa kutoka kwenye blackhole, naomba msaada wajuvi......
Nawasilisha..