Why everybody seems to hate Meek Mill?

wakati unaendelea kujiuliza kula hili dude
Meek Mill Ft. Nicki Minaj & Chris Brown - All Eyes On You

 
Ukisikiliza Goma Lake la Im a boss like my nikka rozay utamuelewa anasema "Thanks god for bottle i popped all money im getting and model i popped"

♡Kina 50 wanamuonea wivu kwamba analamba mtoto mkare its a babie bitch.
 
Hahahahaaa khaaaa!
Nasubiri mapovu hapa maana hili litawachoma wengi.
Nifah = Wema replies, jina la instagram. anachokishabikia boss ( wema ) na timu nzima lazima mfuate, atakayekushangaa wewe basi hajui kanuni za bosi wenu.
 
Sijui kwanini namkubali sana huyu mnyamwezi meek mill kila nikiangalia 50 cent anavyomponda naumia. ..mnyamwezi simple flani halafu ana malaya mkali. ..yule babu 50 anagonga miaka 40 anatumia mda mwingi kwenye Internet kumshambulia dogo wa miaka 20s
 
Nobody hates Meek, majority are just disappointed and a few of us pity him. His jealousy and insecurity got him set himself up for all that's been happening to him. He started it, and Drake killed him (oh man!). Nigga got bodied by a singin sensitive Nigga (oh man!). A wise man, shoulda kept quiet and saved whatever face he was left with. But it's Meek we talking about.

To make things worse, dude replied to a gem that's probably signed the end his career, several months later, with some joke azz jabs. You know your sh!t is whack, when you get killed even by another struggling rapper on the gram, not in the studio, on the fuckin gram.

In the whole history of rap, it's only Jay-Z that got murdered that bad in a beef track and came back stronger. Cube come to mind as well, but it's not the same.

Back to back's the sh!t I'd play back to back. To me, that's the illest diss track I've ever heard (and I'm down with Cole and K-Dot). Ill'er than Ether, no doubt. Only difference between this vs Nas & Jay's beef, this one was kinda light weight and it died b4 it even got started. If it was a fight, it'd be Tyson vs Joe Frazier Jr.
 
Ahaaa that back to back free style murdered Meek.. "is that your world tour or your girls tour "
 
Haya mambo ya hip hop siyajui kabisa, nilikua nayajua zamani enzi 50 cent anaangusha mawe miaka ya 2000, wayne yuko juu. Baada ya hao jamaa kuishiwa mistari nikahamia kwenye vigodoro. Sijui hata nini kinaendelea kwenye hip hop, niaka ile nako wanaangusha majabali.

Sasa ukiniuliza msaga sumu ataachia lini albam au kingwendu ataachia lini albam hayo nayajua sana. Lakini sijui bifu za hip hop za marekani, kwanza huyo meek mill ndio nani? Niko outdated kwa kweli na haya mambo ya hip hop.
 


Hahahah
 
Meek Mill ndo chafu ya wachafuzi wanyamwezi wanamhanja kisa anakamatilia that pink doll-like byaaaatch Minaj!
Hizo issue za kumtoa chooni ni gelesha tu!
All eyes on me!!!!
 
meek ana habar za kike kwanza yeye ndo alianzisha beef kwenye twitter kwa kusema drake haandiki mistari yake japo drake ndo alimbeba kwenye ngoma yake r.i.c.o hii ndo ilikua ngoma kali kwenye albam mpya ya meek. baada ya drake kutoa diss yake ya charged up meek alikaa kimya badala ya kujibu mashambulizi. baada ya cku 4 drake katoa diss ya pili back to back, meek hakujibu...hii kitu imemshushia heshima hata kwa mashabik wake maana yeye alikua anajifanya ni gangstar na mtoto wa mtaani kumbe hana lolote. yaani unawasha moto hafu huwez kuzima
 
Umeandika kila kitu...na kiu ya mashabiki wa meek kuona anamjibu drake ni kwa sababu huko nyuma meek alishawah kumkalisha cassidy..sasa wamekaa we hajibu
 
Umeandika kila kitu...na kiu ya mashabiki wa meek kuona anamjibu drake ni kwa sababu huko nyuma meek alishawah kumkalisha cassidy..sasa wamekaa we hajibu

Hivi wanna know? Halikuwa dongo kwa drake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…