ni kweli wanaume wengi wanaogopa sana kuoa wanawake wazuri koz wanakua wanafatwa sana (wanatongozwa sana)
kwenye black uko zaidi ya sahihi mkuu na iyo ndio huwasababisha hata wasiolewe na kubakia kua vimada wa mapedeshee wa town
define neno "kimada"correction,sio kila asiyeolewa anabaki kuwa kimada wa mtu.sio kila mtu ni tegemezi take note of that.
Kama hujanionjesha tajua wapi utamu wake.niambie kwanza, hujui utamu wa vanilla weye?
Habari zenu wapenzi. . .to be honest i micd jf kwa siku mbili hizi
Okey back to topic, why do most men feel inferior toward beautiful ladies? Mind me hapa nazungumzia wadada wenye uzuri wa asili na anayejikip smart sio wale wa kubandika kope.Yani jamani mkiona mdada mzuri (sio urembo wa dukani) ,smart,anayejipenda yani hata kimavazi tu anajitahidi kupendeza mnaogopa kumuapproach assuming that atakuwa ana gharama sana na hutaweza kumudu. Kwanini inakuwa hvyo? Mnataka mwanamke aweje ili uone kwamba you can afford to be with her? This inferiority thing inazibia wengi kwakweli.hebu fungukeni ili tusije tukawa hatuolewi kisa kuonekana wa gharama sana.
Tatizo wanawake wengi hamtabiriki, mimi kuna dada mmoja kama wiki 2 hivi zilizopita, nilimuona kwa kweli nilimpenda nikajitahidi sana mpaka nikamfuata nikamwambia, lakini kilichonikuta hapo mh! Mpaka nilitamani kuweka sura yangu mfukoni, kwakuwa nilikuwa sina lengo baya kwake basi sikutaka kujibizana nae, nikageuka nikaondoka.
Well this has been a tendence 4 me for quite long time definately due to wat ive learnrd in life wanawake wengi akisha jitambua yeye ni mzuri it turns to be hell of a problem to a man in relationship with,kwasababu tajwa hapo juu na zingine ni kama kujiskia an many alternatives (akikumbuka namba ya men wanaomtongoza) such that hat kuachana sio issue kama ikitokea juc normal prblms katka mahusiano....Binafsi i have never thought of dating beautful woman coz kwanza i love truely so sipo tayari kujiumiza na mawazo..
I know wengi mtakubaliana nami!!!

yeah sort of. I jst kip myself smart and huwa siongei hovyo. Kinachoniudhi is judging a person b4 hujamjua vizuri n i get that a lot.bt once mtu akinizoea then ananiambia how he thot i was b4 knowing me.
@vannila
kinachokuponza labda ni huo ukimya,unajua kuna watu wengine mnapokuwa karibu alafu unakuwa hauongei unachezea simu tu muda wote,anaona kama umemzalau flani....kumbe inawezekana unaugonjwa wa kutomzoea mtu kwa haraka mpaka upite muda....kuna watu wazuri jamani na watu wanakuja kila leo na vibuti wanavipata haswa.
mijanaume mingine hat haijiamin,kila mda iko na wasiwas
wala i dont talk much n huwa sio mtu wa kuhang out sehemu za juu. Mie wa kawaida sana tu kwenye masuala hayo. I dnt knw why my looks deceive most of them.