Why handsome men make bad husbands?......

amenihakikishia nipo peke yangu. Namwamini.
uko peke yako akiwa chumbani na wewe, hapo sebuleni pana house girl na huko nje kuna akina FaizaFoxy. Hivi FaizaFoxy kwa kiswahili inatamkwaje?
 
kwa sababu wanajiona keki, wanajiona wanawake wanawapapatikia.....
 
Mwanaume akijijua ni mzuri ni headache sana mi handsome wa nn?? Mwanaume kila ukipita nae wanamgeukia!!hapana jaman
 
Mwanaume akijijua ni mzuri ni headache sana mi handsome wa nn?? Mwanaume kila ukipita nae wanamgeukia!!hapana jaman
wewe utakufa na sisi wanaume. Kumbuka kila sura ya khume ina mtu wa kike anayemvutia nje xa mke wake. Kumbuka wanawake wanavutiwa na mwanaume eidha kwa sura, mihela, ufanyaji, mavazi, miondoko, kazi anayofanya, marafiki alionao, anakoishi, anakoshinda, kabila lake, anavyoongea, ucheshi, kinywaji anachokunywa. Mwisho wa yote maamuzi ya mwanaume mwenyewe. UTAKWEPA HAPO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…