Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Emu acha kujichoresha,eti tought me to be a real man.She is my soulmate..
As a general rule. Siwezi kabisa kutoka na single mother but she is an exception. Nahisi ana nyota yangu nikiwaga nae huwaga nabutua sana . Nimefanya nae vitu vingi sana nimemsaidia vitu vingi sana amenisaidia vitu vingi sana ..
Moja kati ya vitu ambavyo amenifudisha. She has taught me how to be a real man.
Being a real man ni pale mwanaume unapokuwa na uwezo wa kuendelea kumpenda mwanamke licha ya maudhi yake. ( wanawake mna maudhi sana nyie)
Sasa huyu mwanamke amenifudisha kuvumilia maudhi ya mwanamke. Kwangu ni kitu kikubwa sana hicho sikutegemea on earth kwamba siku moja nitakuja kuwa na uwezo wa kuvumilia maudhi ya wanawake.
Ila mwanangu unatakiwa upigwe lecture ya uanaume, bado una safari ndefu sana.She is my soulmate..
As a general rule. Siwezi kabisa kutoka na single mother but she is an exception. Nahisi ana nyota yangu nikiwaga nae huwaga nabutua sana . Nimefanya nae vitu vingi sana nimemsaidia vitu vingi sana amenisaidia vitu vingi sana ..
Moja kati ya vitu ambavyo amenifudisha. She has taught me how to be a real man.
Being a real man ni pale mwanaume unapokuwa na uwezo wa kuendelea kumpenda mwanamke licha ya maudhi yake. ( wanawake mna maudhi sana nyie)
Sasa huyu mwanamke amenifudisha kuvumilia maudhi ya mwanamke. Kwangu ni kitu kikubwa sana hicho sikutegemea on earth kwamba siku moja nitakuja kuwa na uwezo wa kuvumilia maudhi ya wanawake.
Sio sex, he is driven by emotions, hisia zinawatesa wanaume, hisia zinadhalilisha, hisia zinamnyonya mwanaume.Mwanamke mara nyingi neno letting go hana .
So worry out she is already a single mother means her beautiful now is nothing
Ametega huku na huku means hajajua who is supposed to be with her .
So don't be cheap
Don't be driven by sex
Sio sex, he is driven by emotions, hisia zinawatesa wanaume, hisia zinadhalilisha, hisia zinamnyonya mwanaume.
π€£π€£π€£Huu muda ulioandika gazeti ilitosha uandike maneno mawili tu kumuuliza yeye muhusika kuwa "kwanini umeni-unblock" sasa unakuja kutuuliza sisi?
Words !!!I hate to say this buddy, just move on with your life..
Mbona mnapoteza muda sana.. ishu zenyewe za ujinga ujinga tuu.
Instead of enjoy matunda ya mapenzi nyie mna solve tuu viugonvwi vya high school kweli..
ππππ€£π€£π€£
Hawa hata wakioana hawatoboiSingo faza na singo mama wanachezeshana kuch kuch hota hai, hadi raha......
Kama umejipata amua kufanya kitu kimoja kama unaoa au unaacha.Ukimuangalia anafaa kuwa mama bora wa familia yako au mtanuniana muache watoto wakiteseka.She is my soulmate..
As a general rule. Siwezi kabisa kutoka na single mother but she is an exception. Nahisi ana nyota yangu nikiwaga nae huwaga nabutua sana . Nimefanya nae vitu vingi sana nimemsaidia vitu vingi sana amenisaidia vitu vingi sana ..
Moja kati ya vitu ambavyo amenifudisha. She has taught me how to be a real man.
Being a real man ni pale mwanaume unapokuwa na uwezo wa kuendelea kumpenda mwanamke licha ya maudhi yake. ( wanawake mna maudhi sana nyie)
Sasa huyu mwanamke amenifudisha kuvumilia maudhi ya mwanamke. Kwangu ni kitu kikubwa sana hicho sikutegemea on earth kwamba siku moja nitakuja kuwa na uwezo wa kuvumilia maudhi ya wanawake.
Umri wenu tafadhari, yeye ana umri gani na Wewe una umri gani?WHY HAS SHE UNBLOCKED ME? WITHOUT LETTING ME KNOW THAT SHE HAS UNBLOCKED ME?