Why has she un-blocked me? (Kwanini ameni unblock?)

WHY HAS SHE UNBLOCKED ME? WITHOUT LETTING ME KNOW THAT SHE HAS UNBLOCKED ME?
Nililimwa bloku ya mwezi mzima baada ya kuzingua PAKUBWA. Wakati nakata tamaa mazima nakuja kugundua kuwa kumbe nilishakuwa unblocked kama wiki mbili hizi zilizopita; na mimi wala sikujua. Wanawake akili zao sometimes wanazijua wenyewe tu!
 
Aibu sana hii kijana unasumbuliwa na singo maza ,,, ,,unamuombaje singo maza msamahama.?,,
 
Ktk mahusino yeyote kuna ishara fulani zikitokea tu mm huwa ninakaa pembeni,

Mwanamke kuniblok,


Mwanamke kuniambia ulikuwa na wanawake zako huko,

Mwanamke kutoniamini

,hapo hakuna mwanamke ndio maana wenzio walizalisha wapoona mashauzi meeengi waka logout,

Unatakiwa upandishie kioo moja kwa moja
 
Wote hamjielewi kiakili,, timamu watanielewa,, wajinga wenzio hamuewezi nielewa.
 
It's a stage of Life, utavuka tu. Kuna funzo bado hujalipata vizuri.
Usizipuuze hisia though
 
Wote hamjielewi kiakili,, timamu watanielewa,, wajinga wenzio hamuewezi nielewa.
Sio kwamba wewe ndio hujielewi mkuu? Swali nimeuliza " why has she un-blocked me"? Badala ya kujibu swali wewe unakuja na kunizungumzia Mimi tena.

LIKUD nisaidie kuwaelewesha hawa viumbe wazito
 
Sio kwamba wewe ndio hujielewi mkuu? Swali nimeuliza " why has she un-blocked me"? Badala ya kujibu swali wewe unakuja na kunizungumzia Mimi tena.

LIKUD nisaidie kuwaelewesha hawa viumbe wazito
Pole sana mkuu hivyo ndivyo watanzania walivyo. Huwaga hawawezi kabisa kuchanganua mambo. Wewe umeuliza swali, instead of giving the answers to the questions, they are talking about the question.

Wana akili kama za Yona, Mungu alimwambia nenda Nineveh, badala ya kwenda Nineveh yeye akaenda Tarshish.

Ndio hawa wanao kujibu. Wewe umeuliza swali. Badala ya kukupa jibu la swali lako, wao wanakupa wosia.

Ngoja baadae nitakuja kukupa mtazamo wangu kuhusu kwanini ameku unblock
 
Reactions: _ly
Usisahau kunitag mkuu
 
Ati ukahisi anataka kuongea na weweπŸ˜‚πŸ˜‚

Nani anataka kuongea na wewe bwana πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe hujiamini tu ndo tatizo lako

kaza hizo ngekele ingia chimbo tafuta mali mpya plate no.EF... tukutane kwenye harusi uishi kwa amani

Unaleta ufilipino wa kitoto eti mnacomunicate telepathically

Kwamba mkeo Professor X wa X men au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unahadithia na vingereza vingi humo humo na hadi chuo umeenda unakuja kusumbuliwa na simple things

Bladiful
What is this man
Man up!
 
Hamna majukumu akili zenu na umri unaruhusu kufanya hayo na kuyahangaikia. Mkikua mtaacha.
 
Mkuu hakuna mtu anajua saikilojia ya mwanamke na atafanya nini dakika tano zijazo Mungu aliyetuumba aliishia kuwaambia muishi na sisi kwa akili



We huogopi?
 
Kwa sababu umeamua kuwa mjinga wa mapenzi ngoja tukuache.yaendelee kukuchakaza
 
Ni wivu tu unao wasumbua. Mnanionea wivu ninavyo pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…