Why I don't go to church

Biblia inayofundishwa kanisani ni misinterpretation ya mafundisho ya Jesus kabisa. Actually Jesus is in you and amexist in different edges kma Krishna, Jesus, Osiris
 
Biblia inayofundishwa kanisani ni misinterpretation ya mafundisho ya Jesus kabisa. Actually Jesus is in you and amexist in different edges kma Krishna, Jesus, Osiris
Nakuunga mkono kabisa kuwa; "Biblia inayofundishwa kanisani" wala sio inayofundishwa na Roho Mtakatifu. Fundishwa na yeye tuliyeambiwa ndiye mwalimu wa kweli. Roho Mtakatifu. Wengi hawaielewi biblia kwa sababu hujisomea ka novel flan hivi.
Ruhusu Roho Mtakatifu akufundishe
 
Yah serious baada tu ya mfalme Constantine wa rumi kuamua kuanzisha hii biashara ya imani
Biblia inayofundishwa kanisani ni misinterpretation ya mafundisho ya Jesus kabisa. Actually Jesus is in you and amexist in different edges kma Krishna, Jesus, Osiris
 
Suala siyo kuamini kuwa kuna heaven, suala ni kwa nini sadaka zinaliwa na wachungaji? Na pia kwa nini wanalazimishwa utowaji wa sadaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo Yesu ushawah kumwona?
hyo mbingu ushawah ingia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala siyo kuamini kuwa kuna heaven, suala ni kwa nini sadaka zinaliwa na wachungaji? Na pia kwa nini wanalazimishwa utowaji wa sadaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ku declare interest mapemaaaa. Nisikufiche ndugu yangu. Mimi ninayesema nawe hapa ni mchungaji hivyo kama hutaenda kanisani ati kwa sababu sadaka huliwa na mchungaji nadhani utakuwa umekosea sana sana.
Wewe sikujui wala weye hunijui ila nimekuambia kabisa kuwa mimi ni mchungaji na huwa nakula sana sadaka "Fedha taslimu na vitu vinginevyo" vilivyotolewa kama sadaka kwa Bwana.
Sijui una umri wa miaka elfu ngapi hata uweze kutambua leo kuwa; Wachungaji hula sadaka zinazotolewa kwa Bwana. Pole sana ila kwa roho hiyo ya uchoyo hadi kwa Mungu wako naona una tatizo. Wewe acha tu ujuaji, toa sadaka zako zote ulizoamriwa na Mungu halafu siku ukifa, kama utafanikiwa kumwona Mungu muulize kwa nini sadaka ziitwe ni zake halafu sisi tunaoitwa Watumishi wake tunazila.
Somo hilo ni refu siwezi kukufundishia kwa uzi wa mtu mwingine.
 
huyo Yesu ushawah kumwona?
hyo mbingu ushawah ingia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aksante sana kwa maswali yako maguuumu sana weye Mr Giniasi. Hapa JF kwa kweli hajawahi tokea jiniasi mwingine ka weye. Ila, samahani nijibu swali lako kwa swali; Je,unaamini kuwa mimi ninayesema nawe ni mtu au jini?? Umewahi kuniona? Je, unaamini nami nina kwetu? Umewahi fika huko??
Nadhani weye ni miongoni mwa hiki kizazi kinachojiita "Kipya" wakati kimezaliwa na kizazi kizee. Yesu yupo, alikuwepo na atakuwepo milele. Mbingu zipo na zilikuwepo na zitakuwepo kwa sababu Yesu amesema; Yoh. 10 : 27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. 28 Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe.....
Mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wako nawe utaupata uzima wa milele bure na mbinguni tutakuwa pamoja milele
 
There are different ways that makes one believe in Jesus Christ,
If at one time Jesus had ever by himself or sent anything of different from what is normal to human perception, it is there where no matter what Jesus will always dwell in your heart,
Because of that you will feel guilty of your denials.
Wazungu ni wazungu Tena na wao walifikiwa tu na Imani, Yesu ni Yesu, Wala hahitaji kutetewa kwa Nini aaminiwe! Ukitaka nenda nae, ukikataa, unabaki tu! Sio lazima!

Jesus is so friendly, and never preaches violence in societies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa la dini ni lipi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndugu yangu
alokuletea mambo ya yohana ndo huyo aloleta mambo ya yesu yaan n sawa na kesi ya nyan kupelekwa kwa ngedere
Sent using Jamii Forums mobile app
 
As long as you do not have a personal relationship with God, you will not see the necessity of going to the church. It is this relationship which will lead you to discover the real presence of Jesus in His church

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristu wanapoteza kabisa Iman na dini yao kuliko hata waliopo nje ya ukristu. Si mara nyingi sana utawaskia waislam kutilia mashaka dini yao au taratibu zao ila ni mara nyingi sana utawaskia wakristu kutilia mashaka taratibu zao world wide na ndio maana wengi wao wanapoteza interest na dini yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…