Why in Dubai

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] RIP mrembo.
 
RIP.Kuna ile ya mfanyakazi wakiAfrica nusu afe pia ilitrend sana huko Uarabuni mke wa muarabu alimuamuru ajirushe laasivyo anamuua dada wa watu akajirusha sema aliangukia Kwenye gari aliishia kuumia tu.Baadhi ya waarabu sijui wanaroho gan aisee!
 
Unapoambiwa chagua tukuchinje au ujirushe ghorofani......!
 
RIP.Kuna ile ya mfanyakazi wakiAfrica nusu afe pia ilitrend sana huko Uarabuni mke wa muarabu alimuamuru ajirushe laasivyo anamuua dada wa watu akajirusha sema aliangukia Kwenye gari aliishia kuumia tu.Baadhi ya waarabu sijui wanaroho gan aisee!

Inawezekana hata huyo akawa aliamriwa ajirushe huez jua,kuna mambo mengi wanafanyiwa waAfrica huko Uarabuni afu wanasema hiyo imetokea Bahrain sio Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…