Jameel2013
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 824
- 762
Hakuna hela ya mzungu DUBAI wao unaowaona hapo wengi ni watalii na wafanya kazi .Pesa za Dubai chanzo ni hao wazungu. wazungu wamewekeza in bulk Dubai hali inayofanya pesa iwe nje.
Mkuu.....Pesa za Dubai chanzo ni hao wazungu. wazungu wamewekeza in bulk Dubai hali inayofanya pesa iwe nje.
Huna unachojua, tukomee hapa.Hakuna hela ya mzungu DUBAI wao unaowaona hapo wengi ni watalii na wafanya kazi .
Chief, kanada na Uingereza wamewekeza Dubai kuliko nchi zingine.Mkuu.....
Hapa umetusokota..π€£
ππππHivyi mnatoaga wapi maneno?Mkuu.....
Hapa umetusokota..π€£
Umewahi kuishi, ama kufanya kazi Dubai..??Chief, kanada na Uingereza wamewekeza Dubai kuliko nchi zingine.
Shauri yenu.
Nishakua nyani mzee...π€£ππππHivyi mnatoaga wapi maneno?
πππππNishakua nyani mzee...π€£
Sasa naona huyu kijana anataka kulazimisha matumizi ya mua eti mkongoji kwenye safari ndefu...π
HAPANA, sijawai na siwezi.Umewahi kuishi, ama kufanya kazi Dubai..??
Asante mkuu, basi ngoja niishie hapa.HAPANA, sijawai na siwezi.