Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 530
Wadau, nilinunua moderm ya Airtel ili nitakapokuwa kijijini niendelee kupata mawasiliano ya Internate kupitia Laptop yangu. Kwa kweli sijaona faida yoyote maana ukinunua airtime ya elfu kumi, baada ya siku mbili umekatika.
Nimekuja kugundua kuwa gharama zao za internet ziko juu sana? Je, ni kwa nini? Mbona naona kama isngepasa kuwa hivyo maana kwao ni alternative business baada ya ile ya kulonga longa.
Nimekuja kugundua kuwa gharama zao za internet ziko juu sana? Je, ni kwa nini? Mbona naona kama isngepasa kuwa hivyo maana kwao ni alternative business baada ya ile ya kulonga longa.