Why is Kenya more famous than most other African countries? Is this true or exaggeration


Asante pia Prof. Wangare Mathayo na Ngugi wa Thiongo wame fanya mjulikane kimataifa
 
Kenya ni koloni la mabeberu hadi sasa hiyo ndiyo sababu
Sio sababu mbona nchi nyingi za africa bado ni koloni za mabeberu . Kama wame fanya vizuri acha tuwasifie tuache roho za kichawi. Prof. Wangari Mathai aliipeperusha sana Kenya alivyoshinda Nobel Prize. Wana riadha wao wakishinda medal utaujua tu mwimbo wa taifa wa Kenya.
Kwenye volleyball Kenya wakija North Africa unaona jinsi wanavyojitangaza bado sijaongelea huko Fiji na Tonga.
 
Tunaiponda kwa sababu mmezidi wizi kila kitu mnataka kiwe chenu mfano kilimanjato haya saiv mnaing'ang'ania covid hii tumewaachia mpambane nayo ila hamuishi kutuletea uchokozi
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
And this makes you feel as some kind of first grade Africans as if that exists!!
 
Kabisaaa sababu watalii wanafikiri huko kujionea hio Nchi.
Kilimanjaro mountain in Tanzania is famous than Kenya; hapo I didn't mention the greatest Serengeti!...Kenya kitu maarufu ni Kibera na miraa
 
The most famous countries in Africa should be.
1. Egypt
2. Nigeria
3. South Africa
4. Kenya
5. Ethiopia
 
Kilimanjaro mountain in Tanzania is famous than Kenya; hapo I didn't mention the greatest Serengeti!...Kenya kitu maarufu ni Kibera na miraa
Hii hii Kilimanjaro ambayo wanajua ipo Kenya ndio unasema inajulikana zaidi.
 
Hii hii Kilimanjaro ambayo wanajua ipo Kenya ndio unasema inajulikana zaidi.
Wanajua kina nani labda wavuta bange wa ulaya na amerika....all smart Americans who aspire to tour to the serengeti or the great Kilimanjaro seek official infos hawarely kwenye majigambo ya wahuni wa social media who claim the greatest mountain of Africa is in Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…