Kiuchumi ,kiusalama ,kimkakatti Crimea ilikua nisharit iwe chin ya Russia.
Ukumbukd Crimea ilikua Urusi. Baada ya Muungano wa Usoviet, Rais Nikta akaipa Ukraine iyo ardhi kama sehem yakuonyesha Umoja
Sasa kuanguka kwa usoviet na kupanuka kwa NATO kuelekea Urusi ndiko kukaanza kutoa Onyo la wasiwasi
Marekan, kutumia zaidi ya Dola Bilion 12 kuhakikisha inautoa utawala ulokua unaegemea wa ukraine ulokua unaelekea Urusi, kukazidi kutia wasi, naukumbuke hizo ndo mbinu wanazotumia kujitanua kijeshi.
Putin akashtuka, kuiacha Ukraine yote iwe chin ya NATO ni hatare sana, ndio kwanza akaichukua Crimea, kuichukia Crimea maana yake umeichukua Baltic Sea ,Sehem ya Bahar ambayo NATO walikua wanainyapia kwa nguv.
Kuichukia Crimea in a long run maana yake Urusi inauwezo wa kuishambulia Ulaya na Nato kutokea hapo hapo wakati huo ikijilinda kutokea hapohapo nakupunguza Uharibifu Moscow.
Kufupisha story ,Crimea ni sehem muhimu ya kijeshi na kimkakati kwa mpango wa muda mrefu nahata mifupi mifupi .
Ujue tu US na NATO hawajawah kuipenda Urus, waliingusha USSR lkn mpaka leo wanataman waiangushe Urusi... So usishangae kila siku wakitafuta Mbinu za kumfunga huyu Dubu minyororo ,kisha wamng'oe meno yake.