why is that!!!!!??

Joseph tandika

New Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1
Reaction score
0
One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live witout me' asiniambie ukwel kua m hiz soulmate'''''' WHY!!!!!?

 
Hiki ki-english cha ki-dotcom wengine kinatuacha hola!.
acha na m waki.com nikufafanulie
yani anamaanisha kwanan huyo shost hataki kumuonesha hata kidogo kama anamlove kiasi gani
kwann hataki kumuonesha mwana kama yy ndio mwenyewe tu ktk moyo wake
na kwann msichana hataki kabisa msela asome feeling zake mana shost kazificha zote kwakifupi hasomeki kabisa yani
na pia kwann msichana hataki kumuonesha mwana kua hawezi kuishi bila yy (she cant leave without him)
na pia kwann shost amfanyie ivo wakati anajua kabisa mseka kafa kwake mazima
nimejitahidi sasa cjui na mm umenipata au hali ni ile ile
 
 
 
Nimetumia"oxford dictionary"sijaambua kitu!wacha nikalale!
 

You are the greatest sinker.
 

You are the greatest sinker!
 
rudi kwa mwalimu Selina akufundishe english vizuri.
 

oh ok!

kama ni hivyo; mwambie kuwa hapo hakuna mapenzi ya kweli; mapenzi ya kweli huuukunjua moyo uliojifunga; hayaaa kujizuga na hayana kujificha; mapenzi ya kweli yanachanua kama maua kutoa harufu nzuri na kuangaza kwa kila aonaye!
 

lugha gani hii?
 
 
mkuu pole sana.kwa kukusaidia naireport hii thread yako ili PAW akusaidie kuiedit.hupati msaada wa mawazo sababu watu wanashindwa kuielewa kiulahisi ukizingatia jf wanakua wapofaster na mambo yao.sawa?mia
 

wew ni mkaka?
yey ni mdada?

mi chngereza nehh jaman..ebu iweke kwa lugha yetu tukufu ya taifa iliyosanifishwa na mkoloni mwak 1925....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…