why is that!!!!!??

CHINGEREZA CHA KISHAROBARO...... Upuuzi mtupu.........
 
Mwana hata wewe sijakusoma.unasema jamaa analalamika au?mia[/QUOTE]
analalamika kwann huyo demu wake hataki kuweka hisia juu yake yy wazi......sasa swali ni kua hapo mapenz yako au hayako baina yao
sorry mana hata mm kiswaz niko shalo mnooo ila kwa jitihada zangu nazan umepata mwanga kidogo
na cjui hata na yy kapotela wapi hata kuja kuendeleza ishu yake hapa
 
pole best,inawezkana ww ndo unapenda mwenzio hana mpango nawe.
jtahd usiumie zaid achana nae nachoamin m2 km unampenda hauwez ficha hisia,inawezkana mwenzio anaku2mia km boya huku kuna m2 mwingne anaempenda kwa ukweli.
mweleze unavyojfeel kutokana na hzo tabia zake km haelewek achana nae hakufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…