Acheni ulevi, uvivu, kutembea na wanafunzi pamoja na ujeuri mbele ya tajiri.
1. Mtu amejinyima mengi akaanzisha taasisi yake ili apate hela halafu wewe unaenda na matendo ya kumkwamisha unategemea atakuacha uendeleze uhalifu?.
2. Kuna nyakati hizi shule zinajiendesha kwa hasara kubwa, hali hii inapelekea mmiliki kushindwa kuvumilia maumivu na kuamua kupunguza wafanyakazi.
3. Someni taratibu na miongozo ya shule hiyo kabla haujakubali kulipwa laki moja na kama unadhani hiyo laki ni ndogo basi fanya kazi zingine uipate maana haujalazimishwa kwenda kwake.
4. Vijana acheni kulaumu kila siku, iambieni serikali yenu iwape ajira au mjiajiri, kwa vile demand yenu ktk sekta ya ajira ni ndogo kuliko suppy.