Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kupigwa ban ya wiki mbili nusura nizimieBinafsi mimi nisipo perezi jf huwasijisikii vizuri kabisa nimekuwa mwanajf Kwa muda mrefu Sana pia nitaendelea kudumu jamii forums
Aiseee kwa kasi ya uzi kufutwa hiv bado unaupata utamu ule ule ?? Ama umekosa option?Binafsi mimi nisipo perezi jf huwasijisikii vizuri kabisa nimekuwa mwanajf Kwa muda mrefu Sana pia nitaendelea kudumu jamii forums
Hahahahhaa mm saa 24 nilihaha,, kinachoboa ni pale umeona uzi unataka kucomment unashindwa [emoji23][emoji23]Niliwahi kupigwa ban ya wiki mbili nusura nizimie
Ni nzuri ukikuta mhasimu wako ndio kalambwa banBan siyo kitu kuzuri kabisa
Moderator Uwe na huruma utakuja kutuua kwa pressureBan siyo kitu kuzuri kabisa
Angalao wangekuwa wanawasiliana na muhusika mwenyewe inbox na kumshauri mhusika mwenyewe afute posti yake, akikataa ndiyo wampige banHahahahhaa mm saa 24 nilihaha,, kinachoboa ni pale umeona uzi unataka kucomment unashindwa [emoji23][emoji23]
Teh,, si rahis hivyo wanakazi nying sasa hiv yan batan ya ban na ya kufuta nyuzi kwao ndio ziko bize balaaAngalao wangekuwa wanawasiliana na muhusika mwenyewe inbox na kumshauri mhusika mwenyewe afute posti yake, akikataa ndiyo wampige ban
Member since march 2018 jhhahaaahahhaaaaaaaMkuu mambo mengine ni Siri nimekuwa hapa jf kabla kuanza kwa smartphones
Ya zamani ni ipi vile?Mkuu hi ni id mpya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mbona umemwandama mlevi wetu wa jf?Ya zamani ni ipi vile?
[emoji23] nauliza tyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mbona umemwandama mlevi wetu wa jf?