kichwa kubwa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 268
- 214
Aisee tupo pamoja sana kama mimi tuBinafsi mimi nisipo perezi jf huwasijisikii vizuri kabisa nimekuwa mwanajf Kwa muda mrefu Sana pia nitaendelea kudumu jamii forums
Uwe na multiple ID ikipigwa hii nyingine ipo wewe huoni kina popoma wapo wengiNiliwahi kupigwa ban ya wiki mbili nusura nizimie
Tatizo huwezi tena kufungua jamii forum mpaka utumie computer nyingine au smartphoneUwe na multiple ID ikipigwa hii nyingine ipo wewe huoni kina popoma wapo wengi
duuhhhh...............Binafsi mimi nisipo perezi jf huwasijisikii vizuri kabisa nimekuwa mwanajf Kwa muda mrefu Sana pia nitaendelea kudumu jamii forums