Mungu anisamee walai...Kapigieni dili zenu huko pm. Mi' nachukia sana haya mambo ya kuchinja albino na watoto wadogo . Sipendi kuangalia picha/videos.Muelekeze jito la jiwe huko PM mjadili zaidi
Walioitaja Kenya kuwa ni failed state sio Tanzania, acheni kupingana na ukweli. Hao hao wakisema GDP yenu ipo juu hamkatai, lakini wakisema kwamba Kenya ni failed state, mapovu yanawatoka.Bravo, painful truth lakini kwakuwa baadhi ya Wabongo hupenda kuandika kiushabiki linapokuja suala la kujilinganisha na Kenya na mleta mada atajifanya hajakuelewa.
Wa'Tz majority are so brainwashed na wengine wanaujua ukweli but they deliberately try so stupidly to deceive those who don't know the real shit. Tumezoea ku'politicize mambo na kujitoa ufahamu hata kwenye obvious subjects. Ni upuuzi wa hali ya juu.
😆😆😆😆😆😆😆 mleta mada amebaki speechless.Kua serious wewe,eti failed state...
Failed state ni nchi yetu,imejaa udikteta na demokrasia haimo kabisa ndio failed state!
Kenya walao wana demokrasia inayofanya kazi,wana katiba transformative,sio tunaongelea upumbavu hapa!
I'm a Tanzanian,ila huu upumbavu aisee ni wa kuacha,tujifunze!
For your information, mimi ni m'Bongo who prefers being realistic. Huu ushabiki mandazi wa kutafuta kujifariji is not my thing.Walioitaja Kenya kuwa ni failed state sio Tanzania, acheni kupingana na ukweli. Hao hao wakisema GDP yenu ipo juu hamkatai, lakini wakisema kwamba Kenya ni failed state, mapovu yanawatoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekudharau nilivyosoma eti india will surpass china in 50yrs. Gap is widening niga, mtu anamkimbiza mmarekani, unasema wale wahindi wachafu watampita.
Mbumbumbu kweli ww.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa haaa haaa
Huyu jamaa kuongea naye utapoteza muda bure. Kwanza hata mada inayoongelewa haikumbuki tena. Ni sawa na ujumbe ambaye mwenyekiti wa kikao anamuacha tu aongelee mambo ambayo hayako kwenye ajenda.
Kwa AKILI yake eti the headquarters of poverty and uchafu India, anaifananisha na China.
Anajua ya kuwa uchumi wa China unakuwa kwa kasi mpaka they call for cool.
For your information, mimi ni m'Bongo who prefers being realistic. Huu ushabiki mandazi wa kutafuta kujifariji is not my thing.
Mkuu hebu ka Google US Ina bunduki haraamu/zimilikiwazo kinyume na sheria, Ni nyingi kuliko raia wa US Mara 2 au zaidiBro Kunte... all you wrote about USA is some how correct, but our cut off point is untamed armaments possession. In US people own guns but in regulated fashion. It's not like in kenya where goats keepers play with a dangerous AK47. Is it simple issue for you?
Kunte I can asure you, in US despite the abandant mass shootings, you can't see people are playing with guns like that. and bad enough, the guns which owned extra legally.
For your information, mimi ni m'Bongo who prefers being realistic. Huu ushabiki mandazi wa kutafuta kujifariji is not my thing.
The way umeandika hapo wee sio mbongo Anko hahahahahahFor your information, mimi ni m'Bongo who prefers being realistic. Huu ushabiki mandazi wa kutafuta kujifariji is not my thing.
Mkuu hebu ka Google US Ina bunduki haraamu/zimilikiwazo kinyume na sheria, Ni nyingi kuliko raia wa US Mara 2 au zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee,tumieni akili kidogo..
As we speak,instantaneous numbers on the ground China ni 10x ahead of India,thats a fact
And thats what it was USA to China 40 years ago...
Inaangaliwa 50 years to come ni lazima China ipitwe na parameters zipo clear kabisa.
China is a ticking bomb on borrowed time!
Tatizo mna chuki zenu binafsi na Wahindi ina cloud your judgement badala ya kuangalia actual numbers na projections on the ground..
Mnaendeshwa sana na unazi wa kiajabu sana!
Kua serious wewe,eti failed state...
Failed state ni nchi yetu,imejaa udikteta na demokrasia haimo kabisa ndio failed state!
Kenya walao wana demokrasia inayofanya kazi,wana katiba transformative,sio tunaongelea upumbavu hapa!
I'm a Tanzanian,ila huu upumbavu aisee ni wa kuacha,tujifunze!
Demokrasia inakupa chakula wewe,kafanye kazi.acha kutupia lawama wengine matatizo ya ujinga wako.
Utakaa unaugua vidonda vya tumbo ukilalamika.
A corrupt india can never beat a focussed china, go and read the art of war, together with their year book. You will understand that.
Again don't miss the point, in econometric and scientific research we normally use the variables which are defined as anything that has a quantity or quality that varies. They are categorised into three: The dependent variables are variables a researcher is interested in. The independent variables are variables believed to affect the dependent variables. Confounding variables are defined as interference caused by another variable and and control/constant variables, which must be held constant to ensure that we know that how can they can affect the dependent variable.
Now from this insight tell me which variables that convice you that India.
If you compare GDP = f{E, I, Im, Em, GE, error term Ԑ}
If you look at this function, China is the net exporter and India is a net importer. China has a strong policy backing it export through the use of Export Credit Agency which give support their local manufacturers to produce as many as possible dependending on customers needs.
There is no evidence showing that china economy is going to colupse. But we have only the evidence that ''CHINA IS BUYING THE WORLD''.
Acha upumbavu,China kuna grand corruption...
Kibaya zaidi wanakula ruling class ya central communist party of China!
Eti hakuna rushwa?!
Nigga are you really using your head?
Nchi za kidemokrasia za kutiliwa mfano duniani kama Japan,Germany,USA au even Singapore hukuti upumbavu wa rushwa!
India is the largest democracy on earth,suala la rushwa litajirekebisha kama linavyorekebishwa taratibu huko Kenya.
Na Kenya is doing this kutokana na mfumo mzuri wa katiba yao,otherwise ingekua shida...
Acha story ulizo-copy online huko kujifanya unajua sana Statistics....
Nonsense!
The same copied nonsense!
China hai-invent chochote,anafanya manufacturing ya basic items with basic technology which do not control the world!
Pia kuhusu huu mjadala kila mtu na ushabiki wake,mimi nasema China hatakaa ampite USA,na in 50years India au Brazil lazima ampite,wewe unasema China atatawala dunia,ni sawa,kila mtu abaki na imani yake!
Tukubali kutokukubaliana....you are right and I'm right too!
Demokrasia inakupa chakula wewe,kafanye kazi.acha kutupia lawama wengine matatizo ya ujinga wako.
Utakaa unaugua vidonda vya tumbo ukilalamika.
Ahaa haa ha ha
Acha drama na povu.
No one can beat China this is why the America is in rival with China. US is looking the China as a comptetitor. It has never thought about India.
But the good is let's stay on what we think is write.
But for me "The Belt and The Road (SINO)" will eventually buy the World.
You are right,and I'm right too.
Wewe mshabiki wa China,mimi mshabiki wa United States of America,hatutaweza fikia mwisho!
Kama una kingine useme tujadili!
Kuna hoja umetoa eti Tanzania ni ya 51 kwa amani....bro,Watanzania ni wapole,jeshi halijawahi fanya ulinzi wowote,na kwanza halihitajiki!
Watanzania kua wapole wasiopenda fujo haimaanishi jeshi la CCM ndio linalinda sana,hii ni nonsense!
Twende kwenye uzi husika tukajadili. But first and fore most, you have to read the Peace Ranking Report.
Please understand that I'm not the one who prepared that.
Tanzania nchi ya 51 duniani kwa amani
Tanzania yaingia nchi 51 zenye amani zaidi duniani ikiwazidi USA, China, UK Argentina n.k. Kwa Afrika tupo katika 10 bora huku tukiongoza eneo la EAC Shukrani kwa uongozi unaoenzi amani wa Rais Magufuli na wote tuliotimiza wajibu wetu Source: Global Peace Index Sent using Jamii Forums...www.jamiiforums.com